Hali ya ufuska kwenye minada ya korosho Mtwara na Lindi inatisha

Nimetembelea minada kadha kadha ya korosho huku kusini. Kuna ufuska wa kiwango cha lami. Wadada kibao wanajiuza huku. Vingine vitoto vidogo kabisa ambavyo sidhani hata kama vina miaka 17.

Kwa staili hii Ukimwi utakwisha kweli?
Weka picha ya kada pamoja sasa!
 
Nimetembelea minada kadha kadha ya korosho huku kusini. Kuna ufuska wa kiwango cha lami. Wadada kibao wanajiuza huku. Vingine vitoto vidogo kabisa ambavyo sidhani hata kama vina miaka 17.

Kwa staili hii Ukimwi utakwisha kweli?
Penye pesa hayo mambo hayakosekani. Lakini pia kuna hili la jamii ya huko, nadhani wengi mnaijua jamii za huko zinavyo inspire mambo kama hayo
 
hiyo kawaida tu.Kanda ya ziwa malaya wao hutombesha bao moja kwa gunia moja la mpunga baada ya muda malaya anaingiza fuso kuja kutoa magunia ya mpunga aliyoyapata kwa kubadilishana utamu.
 
Nimetembelea minada kadha kadha ya korosho huku kusini. Kuna ufuska wa kiwango cha lami. Wadada kibao wanajiuza huku. Vingine vitoto vidogo kabisa ambavyo sidhani hata kama vina miaka 17.

Kwa staili hii Ukimwi utakwisha kweli?
Fanya uliloendea kama umeshindwa kuwauliza changamoto zao na kumtatulia hata mmoja kati yao basi busara uchune ukifatilia sana unaweza ukajikuta unatamani wanachofanya nawe ukaunga tela kutafuta wateja.
 
Nimetembelea minada kadha kadha ya korosho huku kusini. Kuna ufuska wa kiwango cha lami. Wadada kibao wanajiuza huku. Vingine vitoto vidogo kabisa ambavyo sidhani hata kama vina miaka 17.

Kwa staili hii Ukimwi utakwisha kweli?
Wapeleke ndoms za kutosha huko.
 
Nimetembelea minada kadha kadha ya korosho huku kusini. Kuna ufuska wa kiwango cha lami. Wadada kibao wanajiuza huku. Vingine vitoto vidogo kabisa ambavyo sidhani hata kama vina miaka 17.

Kwa staili hii Ukimwi utakwisha kweli?
Imekuwa kama mikusanyiko ya mikesha ya mwenge wa uhuru, maana huko huwa ni hatari kwa kuchakazana
 
Penye pesa hayo mambo hayakosekani. Lakini pia kuna hili la jamii ya huko, nadhani wengi mnaijua jamii za huko zinavyo inspire mambo kama hayo
Mh, nilijua tu Uzi huu hautokosa mijamaa ya kujifanya kujipaisha kama huyu. Unatoka wapi mkuu Tz hii ambako hakuna Malaya?!!!
 
Back
Top Bottom