Hali ya ufuska kwenye minada ya korosho Mtwara na Lindi inatisha

Hali ya ufuska kwenye minada ya korosho Mtwara na Lindi inatisha

Nimetembelea minada kadha kadha ya korosho huku kusini. Kuna ufuska wa kiwango cha lami. Wadada kibao wanajiuza huku. Vingine vitoto vidogo kabisa ambavyo sidhani hata kama vina miaka 17.

Kwa staili hii Ukimwi utakwisha kweli?
Kwaio mkuu unatakaje,
Wanaowala wachukue tahadhari kwa kutumia kinga? Au wasiliwe
 
Umewahi kwenda kwenye sikukuu za mavuno za wasukuma?(Bulabo)
 
Back
Top Bottom