Hali ya ufuska kwenye minada ya korosho Mtwara na Lindi inatisha

Nimetembelea minada kadha kadha ya korosho huku kusini. Kuna ufuska wa kiwango cha lami. Wadada kibao wanajiuza huku. Vingine vitoto vidogo kabisa ambavyo sidhani hata kama vina miaka 17.

Kwa staili hii Ukimwi utakwisha kweli?
Kama una kisu kikali kula nyama broo ila angalia using'oe meno.. wewe kula nyama acha uoga tusipo saidiana kula watakula wakina nani mkuu na unajua wapi wengi na wanaume tunazidi kupungua?
 
Nimetembelea minada kadha kadha ya korosho huku kusini. Kuna ufuska wa kiwango cha lami. Wadada kibao wanajiuza huku. Vingine vitoto vidogo kabisa ambavyo sidhani hata kama vina miaka 17.

Kwa staili hii Ukimwi utakwisha kweli?
Cha ajabu nini? Unakuwa kama haujawahi kushiriki UMISETA, UMISHUNTA, Mbio za Mwenge, Vikao vya CCM n.k?
 
izo ndo zao wanawake wa kusini ,pwanu tanga,na moro ni malaya sema mzigo wao wakabebeshwa wadada wa singida
Hivi wale malaya wa bijampola kahama,riverside,uwanja wa fisi manzese,pale nyuma ya uwanja wa kirumba mwanza,mboka manyema Tabora,uwanja wa fisi mpanda,kilimani singida,uwanja wa ndege dodoma,shivas Arusha wale ni mabinti wanaojiuza pale ni wa kusini? Idiot
 
Nimetembelea minada kadha kadha ya korosho huku kusini. Kuna ufuska wa kiwango cha lami. Wadada kibao wanajiuza huku. Vingine vitoto vidogo kabisa ambavyo sidhani hata kama vina miaka 17.

Kwa staili hii Ukimwi utakwisha kweli?
Ukimwi ukiisha watu wakale wapi? Wengi wameajiriwa kupitia huo ukimwi.
Watu walipiga kazi kupanda hizo kotosho Sasa Wacha waburudike kwa burudani nambari one hapa duniani..ngono
 
Aisee inaoneka wee mdau kabisa...hivi kaumba bado wapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…