Hali ya Uhalifu mtaani kwa sasa inatisha. Waziri Mambo ya Ndani na Sirro mmeamua kushirikiana na majambazi?

Hali ya Uhalifu mtaani kwa sasa inatisha. Waziri Mambo ya Ndani na Sirro mmeamua kushirikiana na majambazi?

Manzile

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2020
Posts
701
Reaction score
1,900
Kwa sasa hali ni ngumu sana mtaani kiusalama hasa sisi wafanyabiashara hali ni tete.

Juzi mwenzetu anaeyejihusisha na Mobile money Transction amenusirika kuuawa baada ya kukwepa risasi iliyoelekezwa kwenye paji lake la uso na kwa bahati nzuri ikampata maeneo ya mkononi na paja lake la kushoto na majambazi wakafanikiwa kuondoka na zaidi ya milioni 30.

Nini kimebadilika sasa mpaka hawa jamaa wamerudi kwa kasi hivi? Pamoja kwamba nilikuwa siafikiani na sera za Magufuli za kikatili lakini hawa majambazi walikuwa hawafurukuti na kusikika kipindi chake.

Sasa ni kama Waziri wa Mambo ya Ndani na IGP Simon Sirro wameamua kushirikiana na majambazi ama MAJAMBAZI ni polisi wenyewe sasa wameona uwanja uko wazi wameamua kurudi ulingoni.

Haiwezekani matukio yaliyokuwa yamepotea sasa yanarudi kwa kasi
 
Mama Anatakiwa Atoe Demo
Afute Kazi Waziri Wa Ma~Police
Amteue IiGiiPii Kama Alivyofanya Jiwe Kwa Ernest Mangu
Halafu Akamuacha Ofisi Moja
 
Hali itakapokuwa mbaya na kuanza mpaka kutekwa mchana ndio mtatia akili, wakati huo sasa wameshaota mapembe na mabunduki yamejaa mtaani...kukabana itakuwa kila mahala uswazi huko tena mchana, kupigwa tanchi barabarani mchana na kuibiwa itakuwa normal, mnaoshi pembezoni mwa miji mjiandae....mitoto itaanza kutekwa na watu kudai posho...

Tumeamua kuwa wapumbavu na kubembelezana, na kuwafanya wapumbavu rafiki zetu subirini muone show sasa..

RIP Mwamba..
 
Mama Anatakiwa Atoe Demo
Afute Kazi Waziri Wa Ma~Police
Amteue IiGiiPii Kama Alivyofanya Jiwe Kwa Ernest Mangu
Halafu Akamuacha Ofisi Moja

Asiishie tu kuteua na kutengua...atoe amri mmoja mchana kweupe... Hawa wapumbavu wafe haijalishi umemkamata mwenye tukio au la, akishakuwa jambazi tu halali yetu anapotezwa halafu uone baada ya hii operation...mwezi tu kama utasikia ujambazi mitaani huko..
 
Na bado sana hapa watu watamwagana sana damu maana waroho wameamua kujilimbikiza mapato ya watanzania na sisi raia wa kawaida tunaendekeza siasa za kipumba za uChagaDema na UsukumaGang ilhali adui zetu ni watu wa msoga

Leo hii chadema hawasikiki kutetea tozo onevu wala manyanyaso ya machinga wao kila kitu siasa tu
 
Leo kwa mwezi wa pili mfululizo nimesikia kuibiwa kwa gari sita za watu naowafahamu, IGP na waziri wa mambo ya ndani wapumzike kazi imewashinda
mzee hii nchi ukisema ufatilie mamb utapata kisukari....Bure

Nachojua mimi hii nchi atakuja jiwe mwingine kwa wakat wake na atanyoosha tena wajinga

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
ulinzi wa mitaani unaanza na sisi wenyewe tunao ishi ktk mtaa husika.
tuwafichue wahalifu, tutoe taarifa.
mazalia ya uhalifu ni vijiwe vya wavuta bangi.
tuliomba Jeshi letu la Polisi kuongeza doria na kutokomeza vijiwe vya wavuta bangi.
 
ulinzi wa mitaani unaanza na sisi wenyewe tunao ishi ktk mtaa husika.
tuwafichue wahalifu, tutoe taarifa.
mazalia ya uhalifu ni vijiwe vya wavuta bangi.
tuliomba Jeshi letu la Polisi kuongeza doria na kutokomeza vijiwe vya wavuta bangi.
Wahalifu wamerudi mno
1. Vibaka hasahasa wakata nondo/wapuliza dawa za usingizi
2. Majambazi wa kutumia bunduki
3. Wezi wa magari
4. Wezi wa vifaa vya magari
5. Wezi wa pikipiki


Hao wamerudi kwa kasi mno
 
Na bado sana hapa watu watamwagana sana damu maana waroho wameamua kujilimbikiza mapato ya watanzania na sisi raia wa kawaida tunaendekeza siasa za kipumba za uChagaDema na UsukumaGang ilhali adui zetu ni watu wa msoga

Leo hii chadema hawasikiki kutetea tozo onevu wala manyanyaso ya machinga wao kila kitu siasa tu
Leo.ndio mnaikumbuka chadema, yani waTz tuna ufala sana yani, mkipatwa na matatizo mnataka wanaharakati na wapinzani wawasemee na kutetea, wao wakihitaji support yenu mnawaona kama hawana akili na kuwataka wao waanze kujisaidia kwanza[emoji35] wakikaa kimya ndio mnaanza kulaumu kama unavofanya, efi kila kitu siasa! yes kila kitu ni siasa in this world, hata masaa yako ni siasa imekupangia, sheria unazofuata ni siasa imekuletea, thamani ya pesa yako ni siasa imekuletea, elimu ulonayo ni siasa ilokuletea, hata hao majambazo na machinga kuondolewa sjui upuuzi gani wote huo ni siasa imeleta, sasa mkiambiwa nchague viongozi wazuri mnashupaza shingo, mkiambiwa andamaneni.mdai haki yenu mnajifanya mnapenda ugali mnaogopa na kuwaona wanaowaambia hawana akili, sasa si mjitetee wenyewe mbwa nyie, mnakera sana watu mnaohoji huo.upuuzi [emoji35] take action yourself MTF!

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Leo kwa mwezi wa pili mfululizo nimesikia kuibiwa kwa gari sita za watu naowafahamu, IGP na waziri wa mambo ya ndani wapumzike kazi imewashinda
Hizo ni biashara za mapolisi wenyewe
 
Leo.ndio mnaikumbuka chadema, yani waTz tuna ufala sana yani, mkipatwa na matatizo mnataka wanaharakati na wapinzani wawasemee na kutetea, wao wakihitaji support yenu mnawaona kama hawana akili na kuwataka wao waanze kujisaidia kwanza[emoji35] wakikaa kimya ndio mnaanza kulaumu kama unavofanya, efi kila kitu siasa! yes kila kitu ni siasa in this world, hata masaa yako ni siasa imekupangia, sheria unazofuata ni siasa imekuletea, thamani ya pesa yako ni siasa imekuletea, elimu ulonayo ni siasa ilokuletea, hata hao majambazo na machinga kuondolewa sjui upuuzi gani wote huo ni siasa imeleta, sasa mkiambiwa nchague viongozi wazuri mnashupaza shingo, mkiambiwa andamaneni.mdai haki yenu mnajifanya mnapenda ugali mnaogopa na kuwaona wanaowaambia hawana akili, sasa si mjitetee wenyewe mbwa nyie, mnakera sana watu mnaohoji huo.upuuzi[emoji35] take action yourself MTF!

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Sikiliza wewe hakuna mwenye haja na chadema yako wao kuwasemea machinga ni kwa maslahi ya chama hao kuongeza umaarufu ila hakuna ambacho chadema wataongeza kwa maisha ya mtanzania wa kawaida
 
Back
Top Bottom