Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ruvuma Sijui mkuu maana sisi Huku huwa tuna misimu miwili yakupanda kuna watisa na wapili znanyesha kidogo lakin mambo si mabayaMkuu ina maana hata Ruvuma ni jangwa? Maana hazijanyesha pia
Hakuna mvua jua ni kali sanaMvua zimeanza kunyesha huko makao makuu ya chama na serikali??
Unasemea Mbeya yote mkuu? Ilihali mvua ipo Kyela tu, na sehemu kubwa ya Mbeya ni kavu, hivyo hivyo kwa maeneo mengi ya Songwe, Iringa, Rukwa, Katavi n.k; maeneo yanayotegemewa kwa chakula.Huku mbeya mahindi ndoyanabeba mkuu na bado mwez wa pili tunapanda tena Dodoma huko kwenu N jangwa kitambo tu
Plan B ni ipi Sasa??Hakuna mvua jua ni kali sana
Mbeya vijijin wilaya Kata santilya, pia Kata nyingine isangat, ilembo, iwiji mambo SafUnasemea Mbeya yote mkuu? Ilihali mvua ipo Kyela tu, na sehemu kubwa ya Mbeya ni kavu, hivyo hivyo kwa maeneo mengi ya Songwe, Iringa, Rukwa, Katavi n.k; maeneo yanayotegemewa kwa chakula.
Taarifa ya TMA ipo wazi.
Lindi na Mtwara nako Hali teteMkuu hali kama hyo pia naambiwa Ipo Ruvuma,njombe na Iringa.huko kote mvua bado.
Tunasubiri maji ya mradi wa Ziwa Victoria nasikia ushafika Igunga TaboraPlan B ni ipi Sasa??
Unasemea Mbeya yote mkuu? Ilihali mvua ipo Kyela tu, na sehemu kubwa ya Mbeya ni kavu, hivyo hivyo kwa maeneo mengi ya Songwe, Iringa, Rukwa, Katavi n.k; maeneo yanayotegemewa kwa chakula.
Taarifa ya TMA ipo wazi.
Mbeya ipi mvua inanyeshaKaribuni Mbeya kwa kilimo
Jamaa atakuwa mwakaleliMbeya ipi mvua inanyesha
Kusipokuwa na jitihada madhubuti za upandaji wa miti hakuna jipya litakalotokea.Dodoma lini ukame ulikwisha?
Ila pia hatuna utaratibu wa kupanda miti kila mwaka. Tunajua kukata miti kila siku kununua mkaa wa kupikia maharagwe😅Dodoma/Singida bado ni bilabila