Hali ya Ukame nchini

Hali ya Ukame nchini

Huku mbeya mahindi ndoyanabeba mkuu na bado mwez wa pili tunapanda tena Dodoma huko kwenu N jangwa kitambo tu
Mkuu ina maana hata Ruvuma ni jangwa? Maana hazijanyesha pia
 
Mkuu ina maana hata Ruvuma ni jangwa? Maana hazijanyesha pia
Ruvuma Sijui mkuu maana sisi Huku huwa tuna misimu miwili yakupanda kuna watisa na wapili znanyesha kidogo lakin mambo si mabaya
 
Mvua zimeanza kunyesha huko makao makuu ya chama na serikali??
 
Huku mbeya mahindi ndoyanabeba mkuu na bado mwez wa pili tunapanda tena Dodoma huko kwenu N jangwa kitambo tu
Unasemea Mbeya yote mkuu? Ilihali mvua ipo Kyela tu, na sehemu kubwa ya Mbeya ni kavu, hivyo hivyo kwa maeneo mengi ya Songwe, Iringa, Rukwa, Katavi n.k; maeneo yanayotegemewa kwa chakula.
Taarifa ya TMA ipo wazi.
 
Mbeya vijijin wilaya Kata santilya, pia Kata nyingine isangat, ilembo, iwiji mambo Saf
 
Acha jua liwake tujue wapi ni jangwa😂😂😂, ila tuache masihala jamani, kama mwaka huu una chakula cha ziada mimi nakushauri usiuze kabisa, mwakani tutataftana nyinyi 🤔🤔🤔
Unasemea Mbeya yote mkuu? Ilihali mvua ipo Kyela tu, na sehemu kubwa ya Mbeya ni kavu, hivyo hivyo kwa maeneo mengi ya Songwe, Iringa, Rukwa, Katavi n.k; maeneo yanayotegemewa kwa chakula.
Taarifa ya TMA ipo wazi.
 
Dodoma kweli ni jangwa.
Tunazungumzia hali halisi ya mwenendo wa mvua kwa nchi nzima ya Tanzania..sio Dodoma pekee.Nchini kote kwa sasa hakuna mvua ya kueleweka.
 
Dodoma/Singida bado ni bilabila
Ila pia hatuna utaratibu wa kupanda miti kila mwaka. Tunajua kukata miti kila siku kununua mkaa wa kupikia maharagwe😅

Tujifunze sasa kupitia hii Hali ngumu ya sasa.
 
Back
Top Bottom