Hali ya umeme haijatengemaa maana kuna zima washa nyingi. Huku ndio kule kuajiriwa kwa kujuana

Hali ya umeme haijatengemaa maana kuna zima washa nyingi. Huku ndio kule kuajiriwa kwa kujuana

Doto12

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
640
Reaction score
1,141
Nilibaki nimebung'aa jana baada ya umeme kurejea mida ya usiku.

Nilitegemea itakuwa one test au on or off ila cha ajabu usiku manane bado ilikuwa ni off on mara uwashwe mara uzime.

Nikajiuliza inakuaje unafanyia majaribio kazi yako kwenye nyumba milioni za watanzania.

Hakuna chumba cha majaribio.... mfumo mzima wa nchi nzima unakuwa nao kwenye eneo dogo kama test room sio kutuzimia taa na umeme katika eneo lote.

Cha ajab sana asb hii bado hali iko vilevile. Huyu jamaa wa TANESCO aidha atakuwa amelewa au hajui anachokifanya.

Niwaombe wake kama jopo wanapofanya kazi hizi maana kichwa kimoja hakiwez kusolve..

Vijana wengi maofisini wameajiriaa kwa connection si mbaya lkn usifanye kazi peke yako.
 
Watakuwa wapo kwenye matengenezo ya miundo mbinu, najua watatujibu hivi[emoji2]
 
Back
Top Bottom