The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Tanzania hii kila unapokanyaga ni fursa
Kama wenye vyeo na pesa wanaandaa chipukizi hizo fursa unaziona wewe peke Yako?Tanzania hii kila unapokanyaga ni fursa
Tatizo Vijana wetu wamejawa upumbavu wa Siasa za Ujamaa kusubiri Ajira za Serikali, Ndio unawakuta wanazurura mitaani na Mavyeti yaliyopita na wakati
Ngoja mkome,mliambiwa nendeni shambani hamuelewi.Kutokana na uzoefu wangu. Kwa sasa Tanzania ajira ni adimu kuliko wakati wowote ule.
Wakati mnapiga makelele ya mgao wa umeme. Kaeni mkijua graduates wanasota sana huku kitaa bila maelezo.
Miaka kumi iliyopita ajira Tanzania zilikuwa za kumwaga hali haikuwa hivi. Kuna kila dalili kabisa uchumi wetu umepalaganyika hasa kupanda kwa gharama za maisha kila mtu anabana matumizi.
Hata wanaopta ajira kwa sasa most of them are.underpaid, uwekezaji umepungua hasa katika sekta ya viwanda na maeneo mengine yanayo ajiri watu wengi.
Graduates mjipange huku mtaani hali ni tete
View attachment 2850358
Zitaje hizo fursaTanzania hii kila unapokanyaga ni fursa
Tatizo Vijana wetu wamejawa upumbavu wa Siasa za Ujamaa kusubiri Ajira za Serikali, Ndio unawakuta wanazurura mitaani na Mavyeti yaliyopita na wakati
taja hizo fursa angalau mbili tu ambazo graduate anaweza kujiajili akimaliza chuo!!?? au unaandika kama punguani.kiuhalisia hali ni mbaya sana na hii inatokana na kukabidhi nchi kwa majizi,wasio na upeo wa kuongoza,mafisadi ambao ni zao la chama cha ovyo CCMTanzania hii kila unapokanyaga ni fursa
Tatizo Vijana wetu wamejawa upumbavu wa Siasa za Ujamaa kusubiri Ajira za Serikali, Ndio unawakuta wanazurura mitaani na Mavyeti yaliyopita na wakati
Ndio sababu nimesema Vijana wa Tanzania mmejaa upumbavu mwingiKama wenye vyeo na pesa wanaandaa chipukizi hizo fursa unaziona wewe peke Yako?
Ila wewe chawa umeajiriwa serikalini.Tanzania hii kila unapokanyaga ni fursa
Tatizo Vijana wetu wamejawa upumbavu wa Siasa za Ujamaa kusubiri Ajira za Serikali, Ndio unawakuta wanazurura mitaani na Mavyeti yaliyopita na wakati
Anayesubiri Ajira za Serikali duniani kote ni Mpumbavu AliyetukukaZitaje hizo fursa
Unakuta ndugu zako wapo tu hawana mbele wala nyuma wanasubri ajila za serikali
hauna hoja una payuka tu! wana wanataka uwaoneshe hzo fursa unazodai wanazembeaNdio sababu nimesema Vijana wa Tanzania mmejaa upumbavu mwingi
Hao viongozi wa CCM wamefika Kizazi cha nne
Nikupe mfano: Nyerere Kizazi cha kwanza alimchapa bakora Samweli Sitta ambaye ni Kizazi cha pili. Samweli Sitta akamchapa bakora Benjamin Sitta aliyekuwa Meya wa Kinondoni ambaye ni Kizazi cha Tatu na sasa mtoto wa Ben yuko Chipukizi huyo ni Kizazi cha nne
Kwa kifupi Vijana wasio Wazawa wa CCM mtaendelea Kuwa CHAWA kwa sababu Nafasi za Uongozi zilishaandaliwa kwa wateule
Fursa ziko kibao sasa Wewe subiri hapo hapo kwa wazazi Wako Maskini uletewe
Jiongeze kama Diamond tutusa Wewe!
upeo wako wa kufikiri mdogo sana na sitashangaa mtu kama wewe siku moja ukapewa madaraka ili uongoze na hii ni kutokana na mifumo yetu mibovu kwamba ukiwa mtu wa kujipendekeza basi utaula na hii ndio nature ya chama cha mataahiraNdio sababu nimesema Vijana wa Tanzania mmejaa upumbavu mwingi
Hao viongozi wa CCM wamefika Kizazi cha nne
Nikupe mfano: Nyerere Kizazi cha kwanza alimchapa bakora Samweli Sitta ambaye ni Kizazi cha pili. Samweli Sitta akamchapa bakora Benjamin Sitta aliyekuwa Meya wa Kinondoni ambaye ni Kizazi cha Tatu na sasa mtoto wa Ben yuko Chipukizi huyo ni Kizazi cha nne
Kwa kifupi Vijana wasio Wazawa wa CCM mtaendelea Kuwa CHAWA kwa sababu Nafasi za Uongozi zilishaandaliwa kwa wateule
Fursa ziko kibao sasa Wewe subiri hapo hapo kwa wazazi Wako Maskini uletewe
Jiongeze kama Diamond tutusa Wewe!
Nilishaajiriwa tena kwa lazima na nilishastaafu bwashee πIla wewe chawa umeajiriwa serikalini.
#YNWA
Kama wazazi Wako hawakukuonesha fursa unadhani atakuonesha nanihauna hoja una payuka tu! wana wanataka uwaoneshe hzo fursa unazodai wanazembea
Wewe kaa hapo hapo usubiri Ajira ya Serikali!upeo wako wa kufikiri mdogo sana na sitashangaa mtu kama wewe siku moja ukapewa madaraka ili uongoze na hii ni kutokana na mifumo yetu mibovu kwamba ukiwa mtu wa kujipendekeza basi utaula na hii ndio nature ya chama cha mataahira
nimejiajiri mjinga wewe na biashara yangu inategemea umeme ila kutokana na hayo majizi na majambazi ya CCM kukumbatia ufisadi biashara yangu soon inaenda kufa kutokana na mgao unaosababishwa na hao washenzi.AFU ANATOKEA BWEGE MMOJA KAMA WEWE UNAYEISHI KWA KULAMBA WATU MIGUU unaanza kuandika mashuduWewe kaa hapo hapo usubiri Ajira ya Serikali!
Kwahiyo nyie machawa huwa mnaona vijana kama hamnazi eeeh?Nilishaajiriwa tena kwa lazima na nilishastaafu bwashee π
Aliyeshiba hamjui mwenye njaa.....Wewe kaa hapo hapo usubiri Ajira ya Serikali!