Na October utapanga foleni kuanzia asbhi mpaka jioni kuichagua CCMMida ya jioni bajaji zina charge kutoka Kkoo hadi Kimara ni 4,000 kutoka kkoo hadi Mbezi ni 5,000.
Viongozi wako busy na kampeni hakuna anae jali , watoto wao wanatembea na magali ya Billions yaliyonunuliwa na hawa walipa kodi wanaoteseka na usafiri ili wakafanye shughuli zao walipe kodi ili viongozi mnunulie watoto wenu magari ya Kifahari. Hii nchi inaumiza sana inachoma kama Pasi !!
Ukishakuwa mtu mzima usilaumu wazazi wako, sijui hawakufanya nini na nini, tumia akili kupambana na kutatua changamoto za wakati uliopo, na kufanya vizuri zaidi kwa watoto wako, ili wasije kukulaumu na wewe. Kuendelea kulaumu yaliyopita bila kutafuta soln kwa yaliyopo na yajayo hakusaidii sana mkuu wangu. Hao unaowataja hawapo tena kukujibu kwanini hawakuwa wabunifu.Mimi nashindwa kuelewa kwani nini Nyerere hakuwa mbunifu wa uchumi,
Aliaacha miundombinu ili ile ya UK mahitaji ya wa TZ yakiongezaka
Barabara ya huko si ina mabasi ya mwendokasi, au yamebuma??Mida ya jioni bajaji zina charge kutoka Karikoo hadi Kimara ni 4,000 kutoka Karikoo hadi Mbezi ni 5,000.
Nyerere unamsingizia bana yy kazi yake iliishia kuleta uhuruMimi nashindwa kuelewa kwani nini Nyerere hakuwa mbunifu wa uchumi,
Aliaacha miundombinu ili ile ya UK mahitaji ya wa TZ yakiongezaka
Kahame au rudi kijiji kwenu we kibwengo. Watu waache kampeni kwasababu ya umaskini wako, na bado kwa upumbavu huu wa kushinda JF utakuwa fukara la kutupwa. Acha siasa za kishambaMida ya jioni bajaji zina charge kutoka Karikoo hadi Kimara ni 4,000 kutoka Karikoo hadi Mbezi ni 5,000.
Viongozi wako busy na kampeni hakuna anae jali , watoto wao wanatembea na magari ya Billions yaliyonunuliwa na hawa walipa kodi wanaoteseka na usafiri ili wakafanye shughuli zao walipe kodi ili viongozi mnunulie watoto wenu magari ya Kifahari.
Hii nchi inaumiza sana inachoma kama Pasi !!
Nyerere aling'atuka 1985, hio ni miaka 40 iliopita. Hadi leo unamlaumu Nyerere?Mimi nashindwa kuelewa kwani nini Nyerere hakuwa mbunifu wa uchumi,
Aliaacha miundombinu ili ile ya UK mahitaji ya wa TZ yakiongezaka
Kawambie walikutuma waboreshe usafiri.Kahame au rudi kijiji kwenu we kibwengo. Watu waache kampeni kwasababu ya umaskini wako, na bado kwa upumbavu huu wa kushinda JF utakuwa fukara la kutupwa. Acha siasa za kishamba
Nyerere ni tapeli mkubwaMimi nashindwa kuelewa kwani nini Nyerere hakuwa mbunifu wa uchumi,
Aliaacha miundombinu ili ile ya UK mahitaji ya wa TZ yakiongezaka