benja
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 331
- 230
Hamieni BurundiMida ya jioni bajaji zina charge kutoka Karikoo hadi Kimara ni 4,000 kutoka Karikoo hadi Mbezi ni 5,000.
Viongozi wako busy na kampeni hakuna anae jali , watoto wao wanatembea na magari ya Billions yaliyonunuliwa na hawa walipa kodi wanaoteseka na usafiri ili wakafanye shughuli zao walipe kodi ili viongozi mnunulie watoto wenu magari ya Kifahari.
Hii nchi inaumiza sana inachoma kama Pasi !!