Hali ya usafiri Dar kutoka Karikoo au Posta ni mbaya sana

Hamieni Burundi
 
Wakati unachagua ulitegemea izo bei watalipa wapinzani?
Hata wakiingia wapinzani watanilipia ? Nao watanunulia watoto wao magari tu. La mhimu ni kwamba sisi hatujipendi na ni wabinafsi kuliko shetani
 

Mitano tena....
 
Njoo mbagala wote mnangangana na posta krkoo huku abakuja nani??
 
Ni kweli unacho SEMA, sikuwa na lengo la kumlamu mwalimu.
Kinacho Nishagaza nikuona wapigania uhuru wa TZ wakibaki kuwa waajiriwa na kusubiria teuzi za usiku wa manane. Ili Hali uchumi wa TZ unamilikiwa na wahindi, Arab's na ss wachina wamekuwa na madalali wa nyumba na vuwanja.

Jibu ni mmoja usalama wa nchi hakusukwa kwa ajili ya maslahi ya kiuchumi wa TZ, bali ulisukwa kwenye chama kimoja (CCM ) na dini mbili zilizo letwa na majahazi.
Reformation inahitajika mapema kabla mambo hayazidi kuharibika
 
Nyerere aling'atuka 1985, hio ni miaka 40 iliopita. Hadi leo unamlaumu Nyerere?
Jifunzeni kutokana na makosa , hata mwalimu alilisema hili, reformation inahitajika mapema kabla mambo hayazidi kuharibika
 
Yale mabasi ya chukuwachakomapema rangi ya kijani na njano yapo tu kufanya kampeni, kwanini hayatumiki kusaidia?!
Hela ipo, anaye kwambia hakuna hela ya kununuwa mabasi kwa akili ya usafiri wa raia ni waongo, hawajuwi hizo kero, wabinafsi sana hawa!
 
Nyerere unamsingizia bana yy kazi yake iliishia kuleta uhuru
Lakini alikaa miaka 20> + ujamaa Mambo ndio yakazidi kwenda mramba, , alipaswa kimpisha mpigania uhuru mwingine ashike hatamu mapema sana ,
Mwalimu hakuwa anajua maswala ya kiuchumi, yeye ni siasa,siasa na yeye,
 
CCM JUU JUU ZAIDI,!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…