Hali ya usafiri Dar kutoka Karikoo au Posta ni mbaya sana

Mimi nashindwa kuelewa kwani nini Nyerere hakuwa mbunifu wa uchumi,
Aliaacha miundombinu ili ile ya UK mahitaji ya wa TZ yakiongezaka
Una umri gani!?....akili zako ndogo sana yaani mtu alitoka madarakani miaka 40 iliyopita unamlaumu kwa matatizo ya miundombinu ya sasa?
 
Kwan huko hamjapewa baiskel ndugu?Huku mikoani tumepewa baiskeli za anitya zituwaishe shamba,
 
Reactions: al1
Kila mtu ale Kwa urefu wa kudu yake mkuu.
 
Una umri gani!?....akili zako ndogo sana yaani mtu alitoka madarakani miaka 40 iliyopita unamlaumu kwa matatizo ya miundombinu ya sasa?
Lengo langu sio personal attacking.
Bali nataka muangalie mifumo ya serikali ya TZ inavofanya KAZI.
 
Nyie ndio mnaosema Mwanasiasa haleti ugali mezani, wewe pambania Ugali wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…