Kenya itaendelea kuchomeka kwa sababu ya upuuzi wenu wa ukabila na NASA vs Jubilee, mkuletewa taarifa yoyote yenye kukosoa serikali mnaanza kuingiza ukabila au NASA vs Jubilee. Ulipoamua kuacha kuamini serikali ya Tanzania na kumsikiliza huyo journalist, kwako uliona ni sawa, sasa mimi nilipokuwekea huyo journalist anayepinga taarifa za Kenya, unakataa na kusema na blog za NASA, stupid Kenyan.
Tunapaswa wote kutumia sources za serikali, ambapo serikali ya Kenya inasema by December 2016 electric connectivity was 55%, na serikali ya TZ inasema by December 2016 was 67.5%, hizo sources zingine toka NASA na private Journalists tuachane nazo. Kwasababu hiyo, Kenya ipo nyuma sana ya Tanzania.
Hili la umeme wala usijisumbue, Tanzania ipo mbali sana, tafute lingine la kushindana na Tanzania, sio katika eneo la umeme wala barabara, huko utadhalilika.