Hali ya usambazaji umeme nchini Tanzania,Kenya mna la kujifunza Tanzania

Tujifunze nini? Hizo takwimu zinaonesha TANZANIA MAINLAND (hawajaeka Zanzibar, ingekuwa chini zaidi ya hiyo) 32.8% as at Dec 2016! Kenya, kama source yangu hapo juu inavoeleza, usambazaji ulikuwa 55%, hiyo ni December 2016 pia. Unajifanya una kengeza kama mwenzako?
 
Ninarudia tena, wewe ni mjinga sana, endelea kunyonya maziwa ya mbwa koko. Hii source inatoa taarifa ya serikali kuhusu usambazaji umeme, na huyo hapo chini ni mwandishi(Journalist), anayetoa view zake kutokana na hiyo taarifa ya serikali kuonyesha wasiwasi wake, kwanini umeamua kuacha kuisikiliza serikali, na badala yake unataka kumsikiliza mtu binafsi?. Ngoja nikuletee habari za baadhi wa journalists wa Kenya wanaopinga taarifa za serikali ya Kenya kuhusu barabara na idadi ya wakenya waliounganishwa na umeme kama Jubilee inavyodai, je utaamini taarifa za Jubilee au hao journalists wanaozipinga?, acha ujinga.
 
Tukutane 2022 mkuu
Asante sana mleta mada MSAGA SUMU, kwa kukubali kwamba tupo mbali sana kama Kenya ikifika ni kwenye usambazaji wa umeme. Waeleze wenzako sasa! Hizo ni takwimu za Dec. 2016, 55%! Ulidhani nadanganya nikisema kwamba Desemba 2017 tulikuwa tumefikia 67%? Haya basi tukutane 2022, ikumbukwe kuwa mradi wa 'last mile' bado unaendelea Kenya. Wananuia kufikia 'universal connectivity', huo ni usambazaji wa umeme wa 95%+ kabla ya 2022. Mungu atujaalie mema. Kenya hoyee!
 
Lying to the President: How Kenya Power managers cooked Last Mile connection figures
Serikali ya Kenya inasema imeunganisha watu zaidi ya 3M, hawa journalists wanasema sio kweli, je utasikiliza nani?. Ripoti niliyokuwekea ni ya Tanzania, serikali inasrma imeunganisha 67.5%, Journalist anabisha na kuonyesha 36%, utasikiliza nani?. Kwa Kenya unachukua data za serikali, ila kwa Tanzania unachukua data za journalist, stupid Kenyan. Ila jiandaeni kuendelea kuisoma namba
 
Tupa mitusi yote! Mimi sijakuletea source ya serikali kuhusu takwimu za Kenya Dec. 2016/55% elect. connec. % Ulileta source wewe mwenyewe ambayo serikali yenu imekosolewa kwa kufanya hesabu za shule ya chekechea! Sasa unataka kukimbia kwenye blog za NASA. Blog uchwara hazitobadilisha uhalisia wa mambo. Tz bado sana! Ingefaa ung'ang'ane kutafta source nyingine ya kuonesha kuwa usambazaji wa umeme Tz ulikuwa zaidi ya hiyo 32.8%/Dec. 2016! Ila mleta mada keshafunga uzi wake! 😀 Wewe endelea kutapatapa nje ya mada! 😀😀
 
Kenya itaendelea kuchomeka kwa sababu ya upuuzi wenu wa ukabila na NASA vs Jubilee, mkuletewa taarifa yoyote yenye kukosoa serikali mnaanza kuingiza ukabila au NASA vs Jubilee. Ulipoamua kuacha kuamini serikali ya Tanzania na kumsikiliza huyo journalist, kwako uliona ni sawa, sasa mimi nilipokuwekea huyo journalist anayepinga taarifa za Kenya, unakataa na kusema na blog za NASA, stupid Kenyan.

Tunapaswa wote kutumia sources za serikali, ambapo serikali ya Kenya inasema by December 2016 electric connectivity was 55%, na serikali ya TZ inasema by December 2016 was 67.5%, hizo sources zingine toka NASA na private Journalists tuachane nazo. Kwasababu hiyo, Kenya ipo nyuma sana ya Tanzania.

Hili la umeme wala usijisumbue, Tanzania ipo mbali sana, tafute lingine la kushindana na Tanzania, sio katika eneo la umeme wala barabara, huko utadhalilika.
 
Huko kwenu ni CCM vs CHADEMA kweli nyani haoni kundule.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mtaumia sana mwaka huu, the most recent data ni hizi hapa chini, achana na hizo za zamani, endeleeni kuisoma namba
https://pesacheck.org/how-many-rural-tanzanians-have-power-c60f4d89697e[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
joto la jiwe ni kilaza, jamaa anatuwekea link inayopingana na maoni yake. The report states that only 16% of rural Danganyikans have access to electricity while 67% of urban population have access to electricity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…