Hali ya Usawa itarudi katika maisha Ila kutakuwa na tofauti kubwa Kati ya alienacho na asienacho

Hali ya Usawa itarudi katika maisha Ila kutakuwa na tofauti kubwa Kati ya alienacho na asienacho

Street Hustler

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
2,278
Reaction score
4,525
Hii hali tuliyonayo sasa imekuja kutufundisha usawa wa kila jambo yaani no janja janja kwa maana kama wewe ni mfanyabiashara uwe mfanyabiashara kweli na kama ni shule iwe ni shule kweli kama ni benki basi iwe ni benki lakini sio sehemu ya kusubiri deposit za wateja.

Mpaka hili swala liishe nyumba za kupanga zitalipwa kwa mwezi au miezi mitatu na bei zitashuka.

Shule nyingi hasa hizi janja janja watashindwa kuziendesha labda mabenki yajitolee kuwasaidia.

Watu wataanza kulipwa kwa muda yaani masaa ya kazi nasio kusubiri tar 30.

Focus ya maisha itakuwa ni kutunza pesa nasio kutumia hvyo mabaa, hotel na kumbi za starehe watapata shida, biashara za home delivery zitaibuka nyingi.

Ujenzi wa nyumba za kuishi utapungua hvyo cement, mabati, mbao, vigae, na vifaa vinginevyo vya ujenzi vitashukabei.

Ubunifu utaongezeka kwenye kila shughuli kuanzia kilimo, biashara, na viwanda vingi vya majumban vitaibuka.

Kwenye usafiri ubunifu utaongezeka barabaran kutakuwa na magari mazuri lakini abiria wachache na kuwafanya wamiliki kuja na package za kuvutia wateja, usafiri wa anga utakuwa nafuu kuliko.

Omba uzima na mungu akupe nafasi ya kushuhudia hili.
 
Duh


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom