peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Njooni muone Hali halisi.
Nazani wakongo haoHii clip nayo ni ya hapa Tanzania?
Kuna watu wanafanya matukio hata ukiona anafanywa hivi utaona kama haitoshiHii haikubaliki. Nikikuta unamuadhibu ndugu yangu kiasi hiki utanitambua
Kwa haraka haraka hao ni kikundi cha wapiganaji wa Congo DRC au BURUNDI. Kwanza karibu watu wanne wamebeba silaha nzito za kivita. Pili inaonesha huyu binti alifanya jambo either la kichawi kwa kuwazingua hao jamaa hapo Kijijini. kwasababu hapo mmoja anasema 'Unatuloga eeh' au huenda huyu binti aliificha silaha ya mmoja kati ya hao wapiganaji maana hapo kuna mtu anamuuliza ''na bunduki yetu iko wapi? mwingine anauliza ''unaua nguvu ya dawa?. Huwenda Bunduki iliwekwa sehemu huyu binti labda katika michezo au matembezi ya shambani akaichukua. 'Akategua mtego bila kujua'. Lakini kwa haraka haraka huyu binti kiswahili chake ni tofauti na hao jamaa. Kiswahili chake ni cha kitanzania. Wameamua kumuadhibu mbele ya watoto wengine ili waone na waogopewe.