Hali ya zao la Korosho sokoni

Hii biashara sijawahi kuifanya, ila nilishajipanga mwaka huu niifanye hii biashara, hapa niliponimeshaanda safari ya kwenda mtwara, dah! Napagawa kwa kweli.
Wew njoo utuone wadau tukupe ABC then utaamua wew uzinyooke au vp
 
Wakulima wa kahawa kila mwaka wanalia kupata hasara. Cha ajabu wanunuzi wakubwa km starbucks wanapata faida ya mabillioni, tht y nikasema wakulima bila kuungana na kuwa na sauti moja hya mabeberu ya kizungu yatawanyonya mpk kiama
Mbwewe jamaa wanasehemu nyingi za kununua mbaya zaidi sisi ni wazalishaji tu hatuna uwezo wa kuprocess, lazima tuumie tu mkuu hata tukiwa na sauti moja.
 
Mbwewe jamaa wanasehemu nyingi za kununua mbaya zaidi sisi ni wazalishaji tu hatuna uwezo wa kuprocess, lazima tuumie tu mkuu hata tukiwa na sauti moja.
Wenzetu wamefanikiwa kuipromoti kahawa mpaka imekuwa sehemu ya utamaduni!! Na sisi tulipaswa kufanya the same ...kahawa ilipaswa kupewa promo ya nguvu kiasi cha kufanya kila mwananchi aweze kunywa angalau vikombe viwili kwa siku. Tukifikia hatua hyo hatutokuwa ns shida na soko
 
Nimekwenda Mtwara kufuatilia hii biashara, nilichogundua ili uwe salama kwa biashara hii ni uwe mfanyabiasha mkubwa unaeweza kununua kwenye minada na kupeleka nje, na kama ni mfanyabiashara mdogo itakuwia ugumu sana kuzitafuta korosho kwa wakulima watakao kuuzia kilo 1,2, mpaka ukusanye zifike tani 10,20 ni majanga. Sasa wenyeji wanakushauri uwaachie pesa wao wakukusanyie huko vijijini wewe uondoke ukafanye mambo yako halafu wakisha kamilisha watakujulisha uje uchukue mzigo wako, hilo kwangu nimeona ni kubet, kumpa mtu milioni 10,20,+++, halafu uondoke!!??,
 
Pure Betting...
 
USITHUBUTU
 
Kwa hiyo hapo bei yenyewe itakuwaje mzee
Ukirudi maelezo ya page 3 utaona kabarua kakichanganua bei dira

Biashara hii inafanyika kimnada ila sharti wanunuzi anaanzia kutangiziwa bei kuanzia 1550/-

Sasa wao ndio waanze kushinda bei kuanzia hapo kwenda juu kama minada mingine kigezo tuu hawarusiwi kushusha bei zaid ya hyo bei dira kwa kg1 (1550/-)
Mwaka jan bei dra iliku 1400/- hv (kama aijakosea )
Na minada (waliza katk minada kwa kg 1 minada ilikuw hv
3800
3900
4000
Hvyo so apo unatoa 170/- ndio unalipwa

(Bei hzo ni kwa kg 1)
 
Sawa mkuu maelezo mazuri kabisa .
Nimekuelewa vizuri kabisa boss.
 
Hill ni fundisho kwa watawala wetu.
Bei inapopanda wakajisifia kuwa wamepandisha wao (na sio hali ya soko ) , wajiandae pia kujishushua bei inaposhuka.
 
Leo mnada umesoma kama ifuatavyo hasa kwa wale walionunua korosho wajiandae kisaiokolojia soma hapa
 
Hiyo bei kwa wakulima wenyewe sio mbaya, ndio bei wanayouzia, ila kwa wale wachuuzi wa kuungaunga (kambangwa) imekula kwao mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…