Tandahimba bei 3016=tani 500
Sijaelewa mkuu,naomba unifafanulie kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tandahimba bei 3016=tani 500
Maendeleo yanachangiw sana na challenge kutoka upnzanZitto Muda mwingine kama ana tatizo la akili vile kumbe yeye alishasema bei imeanguka, baadae akawa ameshasahu
Kwa kweli kama zimenunuliwa bombadier na miradi mikubwaInabidi tuwe tunaziprocess hapa hapa Bongo na kuziuza moja kwa moja Ulaya na Marekani.
Siyo tunawauzia Vietnam, India, halafu wao wanazi process na kuziuza Ulaya. Faida kubwa wanaipata wao.
Ili kufanya hivyo inabidi kuweka mazingira mazuri ya kuvutia kwa wawekezaji.
Wala hatuitaji hilo kama serikali wanapesa ya kununua hayo ndege kwa mabilioni ya pesa in cash kwa nini wasinunue hizo mashine za kunangua korosho na kahawa ? , hata kama ni kwa kuwacharge pesa kidogo wakulima ili waziprocess na kuweza kucompete kimataifa ?Inabidi tuwe tunaziprocess hapa hapa Bongo na kuziuza moja kwa moja Ulaya na Marekani.
Siyo tunawauzia Vietnam, India, halafu wao wanazi process na kuziuza Ulaya. Faida kubwa wanaipata wao.
Ili kufanya hivyo inabidi kuweka mazingira mazuri ya kuvutia kwa wawekezaji.