Typical
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 682
- 632
Tunapishana timing ya kuivisha na kuvuna. Wao wananza kisha tunakuja sisi mwishoni mwa mwaka. So hata wanunuzi wanaanza kule west zikiisha wanakuja huku east.Kama wameanza kununua West Africa ina maana korosho yetu siyo first priority kwao ukilinganisha na zingine,
Kwa hiyo tuna kazi pia ya kuifanyia market korosho yetu ili when it come to choice kwa buyers waifikirie kwanza wizara inatakiwa ya kilimo inatakiwa kulishughulikia hili
Lakini kwa hali ilivyo sasa wakulima ili hali isije kuwa mbaya zaidi wakashangaa wanauza kwa bei ya chini zaidi kuliko ya sasa ni bora wakaiuza tu wasijekudhani bei itaimarika huko mbeleni
In terms of quality, korosho yetu ipo juu zaidi. Na kuna wateja wanaijua na wanaipenda sana hii ya kwetu.