Hali ya zao la Korosho sokoni

Zitto Muda mwingine kama ana tatizo la akili vile kumbe yeye alishasema bei imeanguka, baadae akawa ameshasahu
 
Kwa kweli kama zimenunuliwa bombadier na miradi mikubwa
Kweli tutashindwa kununua processing machines
Hebu angalia matajiri wahindi wanavyowafanyisha kazi kina mama wa kihindi na kuwapa hela kidogo wakati wao wanafaidi.

Nashangaa tunapoambiwa watabangua hata kwa meno
 
Masac new update
Leo tarehe 2/11
 
Wala hatuitaji hilo kama serikali wanapesa ya kununua hayo ndege kwa mabilioni ya pesa in cash kwa nini wasinunue hizo mashine za kunangua korosho na kahawa ? , hata kama ni kwa kuwacharge pesa kidogo wakulima ili waziprocess na kuweza kucompete kimataifa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…