Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
- Thread starter
-
- #121
Kwa halii hii ya sasa huyo kulipa mpaka mahakamaniHeri moja kuliko kumi nenda rudi uje!
Ntaua Mdai wangu!....mwaka sasa!
enheeMtaka Cha uvunguni sharti ainame..
🙄🙄🙄nmetoka kapaMtama Nakutasha
Mvumilivu hula mbivu.
Imagine usingezaliwa mwenzetu ungekuwa wapi!???Najuta kuzaliwa mwenzenu yamenifika.
Mtaka cha uvunguni ategemee kujikwida kumkichwa 🙂Mtaka Cha uvunguni sharti ainame..
[emoji23][emoji23] ni mambo mbayatayari ulitafuna mwanafunzi nini[emoji1787][emoji1787]
hewalaPolepole ndio mwendo
yamekufika hapaMaji ya Shingo
🤣🤣🤣Najuta kuzaliwa mwenzenu yamenifika.
mambo kwenye njiaBaada ya dhiki....faraja
Najiweka pembeni naepusha JamYanini malumbano20%