Hali yako ya kimaisha ya sasa unaipa methali au msemo upi?

Hali yako ya kimaisha ya sasa unaipa methali au msemo upi?

Si ulisema kuwa anapumua?
Aisee,kila post mnaireletisha na Jiwe ?Duh hatari. Huo msemo wala hauendani kabisa na issue ya Yohana mbatizaji. Thread inauliza kuhusu maisha yangu ya sasa na ukilinganisha nilikotoka.
 
Kila mtu anapitia ya kwake na kwa muda wake , vitu vingi vinatukwamisha ,vingi vinatujenga vingine vinatuabisha vingine vitupa moyo na furaha.

hivi kwamba hali yako ya maisha ya sasa ungeambiwa utumie methali,Nahau au msemo wowote kuielezea ungetumia METHALI au MSEMO Upi?

kwa Upande wangu mimi hali yangu ya sasa ningetumia

MAJI UKISHAYAVULIA NGUO SHARTI UYAOGE
Hakuna marefu yasiyo na ncha
Mwanangu Kua uyaone
 
Aisee,kila post mnaireletisha na Jiwe ?Duh hatari. Huo msemo wala hauendani kabisa na issue ya Yohana mbatizaji. Thread inauliza kuhusu maisha yangu ya sasa na ukilinganisha nilikotoka.
Mr Mzungu anawish asingezihadaa media kiasi kile; hana hamu tena maana kile ambacho media zilisema they cited ^a reliable source^ ni huyoooo mzembe & mzushi. Hahahaha 🙂
 
Back
Top Bottom