Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
- Thread starter
- #141
kimewakaPema usijapo Pema, ukipema si Pema tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kimewakaPema usijapo Pema, ukipema si Pema tena.
🤣🤣🤣Mungu si Athumani
hhaahhaWaliposema kua uyaone sio maghorofa...
kimeumanaMungu si Athumani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kanga hazai ugenini
Si ulisema kuwa anapumua?Hayawi hayawi sasa yamekuwa.
Aisee,kila post mnaireletisha na Jiwe ?Duh hatari. Huo msemo wala hauendani kabisa na issue ya Yohana mbatizaji. Thread inauliza kuhusu maisha yangu ya sasa na ukilinganisha nilikotoka.Si ulisema kuwa anapumua?
Hakuna marefu yasiyo na nchaKila mtu anapitia ya kwake na kwa muda wake , vitu vingi vinatukwamisha ,vingi vinatujenga vingine vinatuabisha vingine vitupa moyo na furaha.
hivi kwamba hali yako ya maisha ya sasa ungeambiwa utumie methali,Nahau au msemo wowote kuielezea ungetumia METHALI au MSEMO Upi?
kwa Upande wangu mimi hali yangu ya sasa ningetumia
MAJI UKISHAYAVULIA NGUO SHARTI UYAOGE
Mr Mzungu anawish asingezihadaa media kiasi kile; hana hamu tena maana kile ambacho media zilisema they cited ^a reliable source^ ni huyoooo mzembe & mzushi. Hahahaha 🙂Aisee,kila post mnaireletisha na Jiwe ?Duh hatari. Huo msemo wala hauendani kabisa na issue ya Yohana mbatizaji. Thread inauliza kuhusu maisha yangu ya sasa na ukilinganisha nilikotoka.
okkeyForever young.
heheheheMgaagaa na upwa hali wali mkavu!!!
😂😂😂😂Kanga hazai ugenini
😂😂😂Hayawi hayawi sasa yamekuwa.