Hali yako ya kimaisha ya sasa unaipa methali au msemo upi?

Hali yako ya kimaisha ya sasa unaipa methali au msemo upi?

Kila mtu anapitia ya kwake na kwa muda wake , vitu vingi vinatukwamisha ,vingi vinatujenga vingine vinatuabisha vingine vitupa moyo na furaha.

hivi kwamba hali yako ya maisha ya sasa ungeambiwa utumie methali,Nahau au msemo wowote kuielezea ungetumia METHALI au MSEMO Upi?

kwa Upande wangu mimi hali yangu ya sasa ningetumia

MAJI UKISHAYAVULIA NGUO SHARTI UYAOGE
Pole Pole ndio Mwendo.
 
Kweli nimeamini kazi mwana mandanda,kulala njaa kupenda.

Najuta sana sasa hivi.
 
Back
Top Bottom