Hali yako ya kimaisha ya sasa unaipa methali au msemo upi?

Hali yako ya kimaisha ya sasa unaipa methali au msemo upi?

"KUA UYAONE"
Sasa nimekua najionea mwenyewe nilijua nikiwa na kazi na.kipato kizuri mengine yote yataenda sawa tuu, la hasha kazi ninayo lakini haifui dafu nakutana na changamoto mpaka nakaribia kuchanganyikiwa. Nyingine zinahitaji hela nyingine akili nyingine itabidi ujitoe ufaham kuzikabili, nyingine nguvu.
Basi maisha vurugu mechi
 
Back
Top Bottom