Hali yako ya kimaisha ya sasa unaipa methali au msemo upi?

Si ulisema kuwa anapumua?
Aisee,kila post mnaireletisha na Jiwe ?Duh hatari. Huo msemo wala hauendani kabisa na issue ya Yohana mbatizaji. Thread inauliza kuhusu maisha yangu ya sasa na ukilinganisha nilikotoka.
 
Hakuna marefu yasiyo na ncha
Mwanangu Kua uyaone
 
Ngoja ngoja yaumiza matumbo

Kuda dadeki kufa hakuna bleki
 
Mwenda pole hajikwai!!!
Subira yavuta heri.
 
Aisee,kila post mnaireletisha na Jiwe ?Duh hatari. Huo msemo wala hauendani kabisa na issue ya Yohana mbatizaji. Thread inauliza kuhusu maisha yangu ya sasa na ukilinganisha nilikotoka.
Mr Mzungu anawish asingezihadaa media kiasi kile; hana hamu tena maana kile ambacho media zilisema they cited ^a reliable source^ ni huyoooo mzembe & mzushi. Hahahaha πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…