Hali yangu leo baada ya kupima UKIMWI

Kijana kijana

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2018
Posts
2,546
Reaction score
2,621
Habari za kutwa wadau wote wa jf.
leo asubuhi nimeamka nikajikuta na ujasiri wa kutoka home na kwenda zahanati kupima ukimwi lakini nilienda kwa staili ya kucheki magonjwa baadhi ya damu lakini tageti ilikuwa ukimwi

basi nikaingia katika huduma huku roho iko poa kabisa aisee sijui nilipata ujasiri gani jamani..

nikapimwa damu na kila kitu sasa ajabu zaidi majibu nilopewa

naambiwa kwani ulikuwa unaumwa?..
nawaambia nimekuja kucheck mwili tu kama niko sawa basi nikaambiwa tu damu iko safi HIV hauna,sijui nini hauna...lakini nikanote hapo pa HIV tu aisee nilitamani kupiga yowe lakini naona ngoja nikomae wasije ona kama momi mpiganaji saana...

ase nikalipia pesa nikatoka pale kidume wa nguvu nikarudi geto kulala huku roho imetulia kabisa mpaka mda huu wadau najiona kama nitaishi mI'mlele(najua nitakufa)lakini ule ugonjwa dah tuache tuu...


Ahsante mungu
 
ndo madhara ya kucheza sana chandimu
 
Usijifu Leo bwana mdogo, bado safari ni ndefu utashsngaa unaenda kupiga kavu kavu tena hofu inarudi upya,
Hayo majibu utazunguka nayo mtaa mzima ili kuvutia mademu uwagonge,

Hongera jilinde afya njema ndio mtaji!!
 

Kwa Sisi wengine wala huwa hatuna haja ya kusumbuka kwenda kupanga ' mifoleni ' kusubiri kupima ' Dally Kimoko / UKIMWI ' bali tumeshafundishwa njia ya haraka sana ya kujua ya kwamba kama umeshaanza Kulikung'uta Gitaa au bado. Njia Kuu za kujipima ' Kienyeji ' ili kujijua ni kama zifuatazo na zinatoa majibu sahihi kabisa ambayo hata ukienda Hospitalini utakuta ni yale yale tu:
  1. Ikitokea umejikata sehemu yoyote ile ya Mwili wako na ile sehemu ikawa kubwa kidogo basi hicho Kidonda chako kama hakifungi ndani ya Siku Tano ( 5 ) mpaka Saba ( 7 ) basi anza kabisa ' Kuserebuka ' Gitaa la Dally Kimoko.
  2. Ikitokea unajihisi labda una Malaria kali au hata tu ya kawaida halafu ukaamua kutumia dawa aina ya Fansida ile ya Italia na siyo hizi za Kenya na Tanzania halafu ndani ya Siku Kumi ( 10 ) hasi Kumi na Nne ( 14 ) hali yako haijabadilika jua tayari ' Sebene ' la Dally Kimoko limeanza Kukukolea hivyo nawe likatikie tu na serebuka nalo.
Ni hayo tu.
 
Ahsane sana kwa darasa
Ila tatizo moja tu

UKIMWI una stages na hizo stages kila moja ila dalili take

Mfano..
Weight loss ipo kwenye 3rd stage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…