Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,621
Habari za kutwa wadau wote wa jf.
leo asubuhi nimeamka nikajikuta na ujasiri wa kutoka home na kwenda zahanati kupima ukimwi lakini nilienda kwa staili ya kucheki magonjwa baadhi ya damu lakini tageti ilikuwa ukimwi
basi nikaingia katika huduma huku roho iko poa kabisa aisee sijui nilipata ujasiri gani jamani..
nikapimwa damu na kila kitu sasa ajabu zaidi majibu nilopewa
naambiwa kwani ulikuwa unaumwa?..
nawaambia nimekuja kucheck mwili tu kama niko sawa basi nikaambiwa tu damu iko safi HIV hauna,sijui nini hauna...lakini nikanote hapo pa HIV tu aisee nilitamani kupiga yowe lakini naona ngoja nikomae wasije ona kama momi mpiganaji saana...
ase nikalipia pesa nikatoka pale kidume wa nguvu nikarudi geto kulala huku roho imetulia kabisa mpaka mda huu wadau najiona kama nitaishi mI'mlele(najua nitakufa)lakini ule ugonjwa dah tuache tuu...
Ahsante mungu