Hali yangu leo baada ya kupima UKIMWI

Hali yangu leo baada ya kupima UKIMWI

Kijana kijana

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2018
Posts
2,546
Reaction score
2,621
Habari za kutwa wadau wote wa jf.
leo asubuhi nimeamka nikajikuta na ujasiri wa kutoka home na kwenda zahanati kupima ukimwi lakini nilienda kwa staili ya kucheki magonjwa baadhi ya damu lakini tageti ilikuwa ukimwi

basi nikaingia katika huduma huku roho iko poa kabisa aisee sijui nilipata ujasiri gani jamani..

nikapimwa damu na kila kitu sasa ajabu zaidi majibu nilopewa

naambiwa kwani ulikuwa unaumwa?..
nawaambia nimekuja kucheck mwili tu kama niko sawa basi nikaambiwa tu damu iko safi HIV hauna,sijui nini hauna...lakini nikanote hapo pa HIV tu aisee nilitamani kupiga yowe lakini naona ngoja nikomae wasije ona kama momi mpiganaji saana...

ase nikalipia pesa nikatoka pale kidume wa nguvu nikarudi geto kulala huku roho imetulia kabisa mpaka mda huu wadau najiona kama nitaishi mI'mlele(najua nitakufa)lakini ule ugonjwa dah tuache tuu...

Ahsante mungu
 
ndo madhara ya kucheza sana chandimu
 
Usijifu Leo bwana mdogo, bado safari ni ndefu utashsngaa unaenda kupiga kavu kavu tena hofu inarudi upya,
Hayo majibu utazunguka nayo mtaa mzima ili kuvutia mademu uwagonge,

Hongera jilinde afya njema ndio mtaji!!
 
Habari za kutwa wadau wote wa jf.
leo asubuhi nimeamka nikajikuta na ujasiri wa kutoka home na kwenda zahanati kupima ukimwi lakini nilienda kwa staili ya kucheki magonjwa baadhi ya damu lakini tageti ilikuwa ukimwi

basi nikaingia katika huduma huku roho iko poa kabisa aisee sijui nilipata ujasiri gani jamani..

nikapimwa damu na kila kitu sasa ajabu zaidi majibu nilopewa

naambiwa kwani ulikuwa unaumwa?..
nawaambia nimekuja kucheck mwili tu kama niko sawa basi nikaambiwa tu damu iko safi HIV hauna,sijui nini hauna...lakini nikanote hapo pa HIV tu aisee nilitamani kupiga yowe lakini naona ngoja nikomae wasije ona kama momi mpiganaji saana...

ase nikalipia pesa nikatoka pale kidume wa nguvu nikarudi geto kulala huku roho imetulia kabisa mpaka mda huu wadau najiona kama nitaishi mI'mlele(najua nitakufa)lakini ule ugonjwa dah tuache tuu...

Ahsante mungu

Kwa Sisi wengine wala huwa hatuna haja ya kusumbuka kwenda kupanga ' mifoleni ' kusubiri kupima ' Dally Kimoko / UKIMWI ' bali tumeshafundishwa njia ya haraka sana ya kujua ya kwamba kama umeshaanza Kulikung'uta Gitaa au bado. Njia Kuu za kujipima ' Kienyeji ' ili kujijua ni kama zifuatazo na zinatoa majibu sahihi kabisa ambayo hata ukienda Hospitalini utakuta ni yale yale tu:
  1. Ikitokea umejikata sehemu yoyote ile ya Mwili wako na ile sehemu ikawa kubwa kidogo basi hicho Kidonda chako kama hakifungi ndani ya Siku Tano ( 5 ) mpaka Saba ( 7 ) basi anza kabisa ' Kuserebuka ' Gitaa la Dally Kimoko.
  2. Ikitokea unajihisi labda una Malaria kali au hata tu ya kawaida halafu ukaamua kutumia dawa aina ya Fansida ile ya Italia na siyo hizi za Kenya na Tanzania halafu ndani ya Siku Kumi ( 10 ) hasi Kumi na Nne ( 14 ) hali yako haijabadilika jua tayari ' Sebene ' la Dally Kimoko limeanza Kukukolea hivyo nawe likatikie tu na serebuka nalo.
Ni hayo tu.
 
Dalili 16 ya kuonekana na mtu kuwa na ugonjwa wa UKIMWI

16 Signs That May Indicate HIV

ukimwi-png.686699

Within a month or two of HIV entering the body, 40% to 90% of people experience flulike symptoms known as acute retroviral syndrome (ARS). Here are 16 signs that you may be HIV-positive:

Fever Homa zisizo kwishakila siku una maradhi ya Homa

One of the first signs of ARS can be a mild fever, up to about 102 degrees F and is often accompanied by other usually mild symptoms, such as fatigue, swollen lymph glands, and a sore throat.

Fatigue Unakuwa mtu wa kuchoka choka bila ya sababu.

The inflammatory response generated by your besieged immune system also can cause you to feel tired and lethargic. Fatigue can be both an early and later sign of HIV.

Achy muscles, joint pain, swollen lymph nodes kuwashwa washwa kwa misuli ya mishipa, kuumwa na viungo vya mwili,kuvimba kwa tesi ya shingo.

ARS is often mistaken for the flu, mononucleosis, or another viral infection, even syphilis or hepatitis.

Skin rash mwili kuwashwa washwa kusikosikia dawa.

Skin rashes can occur early or late in the course of HIV/AIDS.

Sore throat and headache Vidonda Sugu Vya Koo na kuumwa kwa kichwa kila mara kichwa kisicho sikia dawa.

As with other symptoms, sore throat and headache can often be recognized as ARS only in context, HIV is most infectious in the earliest stage.

Nausea, vomiting, diarrhea Kichefu chefu cha kila siku, Kutapika kusiko kwisha na kuharisha kusiko sikia dawa .

Anywhere from 30% to 60% of people have short-term nausea, vomiting, or diarrhea in the early stages of HIV, these symptoms can also appear as a result of antiretroviral therapy and later in the infection, usually as the result of an opportunistic infection.

Weight loss Kupunguwa mwili kwa kasi sana.

Weight loss is a sign of more advanced illness and could be due in part to severe diarrhea.
A person is considered to have wasting syndrome if they lose 10% or more of their body weight and have had diarrhea or weakness and fever for more than 30 days.

Dry cough Kifua Sugu kikavu kisicho sikia Dawa.
A dry cough that goes on for weeks and doesnt seem to resolve.

Pneumonia Homa ya Mapafu
A serious infection caused by a germ that wouldnt bother you if your immune system was working properly.
Other opportunistic infections include toxoplasmosis, a parasitic infection that affects the brain; a type of herpes virus called cytomegalovirus; and yeast infections such as thrush.

Night sweats Kutokwa na jasho usiku
These can be even more common later in infection and arent related to exercise or the temperature of the room.

Nail changes Rangi ya kucha kubadilika kuwa rangi nyeusi au rangi ya kahawa inayo sababishwa na Maradhi sugu ya Fungus.

Nails change such as clubbing (thickening and curving of the nails), splitting of the nails, or discoloration (black or brown lines going either vertically or horizontally) due to fungal infection.

Yeast infections Maradhi ya Fungus Sehemu za siri kwa wanawake
Thrush, a mouth infection caused by Candida, a type of yeast.

Confusion or difficulty concentrating kuchanganyikiwa akili unakuwa kama vile mtu unaye taka kupatwa na wenda wazimu
In addition to confusion and difficulty concentrating, AIDS-related dementia might also involve memory problems and behavioral issues such as anger or irritability.

Cold sores or genital herpes Malenge lenge mdomoni na Virusi vya visunzua Vilivyoko Sehemu za siri ukeni au kwenye uume visivyo sikia Dawa.

Having herpes can also be a risk factor for contracting HIV. This is because genital herpes can cause ulcers that make it easier for HIV to enter the body during sex.

Tingling and weakness Mwili kutetemeka kusikia uchovu wa mwili bila ya hata kufanya kazi

This is called peripheral neuropathy, which also occurs in people with uncontrolled diabetes.

Menstrual irregularities Matatizo ya hedhi

Advanced HIV disease appears to increase the risk of having menstrual irregularities, such as fewer and lighter periods.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu

aids-jpg.686700
Ahsane sana kwa darasa
Ila tatizo moja tu

UKIMWI una stages na hizo stages kila moja ila dalili take

Mfano..
Weight loss ipo kwenye 3rd stage
 
Back
Top Bottom