Kwamba anajua mchuchu anatoka na pedeshee na gari analoendesha Nay limenunuliwa na pedeshee. Pia mchuchu alivalishwa pete ya uchumba na pedeshee awe bi mdogo ilihali yupo na nay.
Halaf anadanganya kmnunulia yeye duh ndo mambo ya ndomo na mama ubaya
Watu na hisa zao JF
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama ayasemayo ni kweli basi percent ya wanaume wenye kustahili kuwa "mume" imeshuka sana
Siwema na Nay kuna nini!!!!!!
Siwema na Nay kuna nini!!!!!!
Aaahah aaah duh binamu umetishaaa
Kwenye ishu ya Siwema wa Nay?
Hahahaha umbea ukizidi unaitwa uchawi me naona ndio ninakoelekea huko... yani wasipopost hadi naumwa mwenzenu hahahaha
Hahaha mwenyewe amesawazisha ishu... ila alikuja kasi kweli huyo mwenye account ya usipojipanga
Hiv huyu halima anashughulika na nini zamani alikua ni mneguaji au namfananishaaa!!!!?na ndio hua analiwaa pia na domoo kama akikosa demu
Ndio maana sijawah kumuona Halima na wema
Kwamba ana mbabu wake wakumlea na nay anajua Sema walikubaliana iwe siri
Mjini kuna siri basi............
Imeelezwa kuwa Diamond hapindui kwa halima kimwana kutokana na ukaribu wao wa mda mrefu, Wakati mpenzi wake Wema sepetu akiwa hapatani na kimwana kama paka na panya, hiyo haijasababisha Diamond kuwa mbali na kimwana, kwani ameshawahi kukiri kuwa hakuna atakayeweza kuwatenganisha na best wake huyo wa long time.
Kama ilivyo kwa kimwana, Diamond hawezi kupindua kwa wema sepetu .wakati kimwana yupo very close na familia ya Dangote, kitendo ambacho kinamuumiza zaidi madame kwani familia ya diamond imekuwa ikimchukia madame na kumkubali zaidi penny na halima, kitendo kinachomfanya penny awe karibu na kimwana kwni anajua fika diamond hapindui kwa kimwana.
mjini kuna mambo.....kweli uspojipangautapanwa lol
Hivi hii Series ya Domo na Mawe iko Season ya ngap kwasasa, mi season ya mwisho kuicheki niliishia jamaa anaitwa Clement kampokonya Mawe mali zake.
as hivi kajala amekamata usukani Ndo mtunza kikojoleo cha clemeee. Baby Chibu bado hajafanikiwa kununua vile vifaa vya ofisi toka clemee achukue vyake
as hivi kajala amekamata usukani Ndo mtunza kikojoleo cha clemeee. Baby Chibu bado hajafanikiwa kununua vile vifaa vya ofisi toka clemee achukue vyake
Ivi toka arudiane na ndomo huyo wema kuna chochote alichofanyiwa? Maana ile anayotumia ni ya clement yaan watu wanapenda vya mteremko yan ndomo umeshindwa ata kuonyesha jeur amwambie wema arudishe gar amnunulie lingine ivi anajisikiaje kuona wema anadriv gar la mwanaume mwingine duh kaz kwel