Halima kimwana, mbabe wa wema sepetu

Halima kimwana, mbabe wa wema sepetu

Hahahaha na warumi na wema ni kama maji na mafuta ya taa.... basi bila kuushusha wa wema hajisikiiii kabisaaaaaaa. Hapa nasubiri tu siku ifike turudi kwa shem clement manake mjini ni kubadilishana mb**** a.k.a vikojoleo

Yaani acha tu mambo ya mjini! But seriously Wema can do better atulie tu afocus kwenye kusaka pesa kwa kuinvest kwenye miradi inayolipa kodi sio hiyo mingine
 
hahaa mapenzi kama siti ya daladala ukiondoka wenzako wanakalia
 
Hahahaha na warumi na wema ni kama maji na mafuta ya taa.... basi bila kuushusha wa wema hajisikiiii kabisaaaaaaa. Hapa nasubiri tu siku ifike turudi kwa shem clement manake mjini ni kubadilishana mb**** a.k.a vikojoleo

Sio kweli binamu
 
Yaani acha tu mambo ya mjini! But seriously Wema can do better atulie tu afocus kwenye kusaka pesa kwa kuinvest kwenye miradi inayolipa kodi sio hiyo mingine

Ndo tupate bwana mwingine atupe mtaji sasa, clemee (kwa sauti ya kichaga) ndo huyo amekata kamba yuko kwa kajala
 
Habari ulete wewe pocha nizifate global khaa

Sent from my iPhone using JamiiForums

Hata habar ninazokuletea bure ushukuru maana haunilipi, halaf na picha juu unataka duh kweli umetisha..
 
Ishu na ney au ipi binamu?

Kwamba anajua mchuchu anatoka na pedeshee na gari analoendesha Nay limenunuliwa na pedeshee. Pia mchuchu alivalishwa pete ya uchumba na pedeshee awe bi mdogo ilihali yupo na nay.
 
Back
Top Bottom