Halima kimwana, mbabe wa wema sepetu

Halima kimwana, mbabe wa wema sepetu

Jaman hiv Ney wa mitego ana mademu wangapii??huyu siwema nae ana mimba ni ya naniiii
 
Hawa machangudoa kila kukicha kujishaua tu kwenye social nets. Wanahongwa tu na mababu na baba zao. Tamaa kama fusi.
 
Hodi hodi humu ndani, miye mmbea mwenzenu naombeni mnipokee kwa mikono miwili, mwanamke umbea kusutwa suna.
 
Hodi hodi humu ndani, miye mmbea mwenzenu naombeni mnipokee kwa mikono miwili, mwanamke umbea kusutwa suna.

Karibuuu team umbeyaa tupo tumejaa teleee unga telaaaa
 
Asante Dina team umbeya mwenzangu, najuta kutoifahamu jf mapema nimepitwa na mengi
 
Hii topic imejaa vituko duh umbea hadharani hahaha leo nilikua nacheka tuuuuu
 
Back
Top Bottom