TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,690
- 2,433
Hahahaha na warumi na wema ni kama maji na mafuta ya taa.... basi bila kuushusha wa wema hajisikiiii kabisaaaaaaa. Hapa nasubiri tu siku ifike turudi kwa shem clement manake mjini ni kubadilishana mb**** a.k.a vikojoleo
Yaani acha tu mambo ya mjini! But seriously Wema can do better atulie tu afocus kwenye kusaka pesa kwa kuinvest kwenye miradi inayolipa kodi sio hiyo mingine