Halima kimwana, mbabe wa wema sepetu

Halima kimwana, mbabe wa wema sepetu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Imeelezwa kuwa Diamond hapindui kwa Halima Kimwana kutokana na ukaribu wao wa mda mrefu, Wakati mpenzi wake Wema Sepetu akiwa hapatani na kimwana kama paka na panya, hiyo haijasababisha Diamond kuwa mbali na Kimwana, kwani ameshawahi kukiri kuwa hakuna atakayeweza kuwatenganisha na best wake huyo wa long time.

Kama ilivyo kwa kimwana, Diamond hawezi kupindua kwa Wema Sepetu wakati Kimwana yupo very close na familia ya Dangote, kitendo ambacho kinamuumiza zaidi madame kwani familia ya Diamond imekuwa ikimchukia madame na kumkubali zaidi Penny na Halima, kitendo kinachomfanya Penny awe karibu na Kimwana kwni anajua fika Diamond hapindui kwa Kimwana.

attachment.php
 
Warumi bhana,vipi shigongo amekupa fidia kwa ile story aliyokopi kutoka kwako?
 
ukiona hivyo ujue ombi lako limetupiliwa mbali...........

Kimwana si ndio anaemkuwadia domo totoz

may be, maana aliniambia wanashughulikia watanijibu kimya hadi Leo, hata kama wametupilia mbali si waseme tu A to Z nijue, sasa wakikaa kimya itakuwa inasaidia nini wakati wenyewe wapo kwa ajili ya kutusaidia
 
Imeelezwa kuwa Diamond hapindui kwa halima kimwana kutokana na ukaribu wao wa mda mrefu, Wakati mpenzi wake Wema sepetu akiwa hapatani na kimwana kama paka na panya, hiyo haijasababisha Diamond kuwa mbali na kimwana, kwani ameshawahi kukiri kuwa hakuna atakayeweza kuwatenganisha na best wake huyo wa long time.

Kama ilivyo kwa kimwana, Diamond hawezi kupindua kwa wema sepetu .wakati kimwana yupo very close na familia ya Dangote, kitendo ambacho kinamuumiza zaidi madame kwani familia ya diamond imekuwa ikimchukia madame na kumkubali zaidi penny na halima, kitendo kinachomfanya penny awe karibu na kimwana kwni anajua fika diamond hapindui kwa kimwana.

Mimi naomba nitajie Familia ya Diamond tu ili nijuwe kama huyu ana Familia kweli.
 
Hivi huyu Diamond hii style ya kurembua mdomo ni vipi tena?
 
Huyo halima na wema wote wachawi kutwa kushinda kwa waganga kumloga ndomo

Mwishowe atakuwa zezeta sasa maana hiyo pull and push ni balaa..

Nilisikia eti wema aliendaga singida kumloga Dai ili amrudie
 
Back
Top Bottom