Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
wanaccm wote haoHoja ya Kimei dhaifu sana, kitu kuwa chini ya serikali haina maana serikali ndio wanatakiwa kuchota pesa nyingi hapo kadri wanavyotaka, kama wanachota basi wahakikishe hawaiathiri hiyo mifuko kujiendesha hasa linapokuja suala la kuwalipa wastaafu, lakini serikali imekuww ikichota pesa nyingi huko kufanyia mambo yake na wanashindwa kuzirudisha kwa wakati ndio maana deni limekaribia kufika 10t.
CCM kwa CCM hawapendani kabisa
Hoja ya Kimei dhaifu sana, kitu kuwa chini ya serikali haina maana serikali ndio wanatakiwa kuchota pesa nyingi hapo kadri wanavyotaka, kama wanachota basi wahakikishe hawaiathiri hiyo mifuko kujiendesha hasa linapokuja suala la kuwalipa wastaafu, lakini serikali imekuww ikichota pesa nyingi huko kufanyia mambo yake na wanashindwa kuzirudisha kwa wakati ndio maana deni limekaribia kufika 10t.
Mzee Halima anatafuta huruma kwa nguvu. Ndugai kawaingiza chaka. Hivi sasa anajaribu kuwapa muda wa upendeleo na hints za kuzungumzia ili kuwavutia walengwa japo nalo linazidi kuwadhalilisha. Ni bora wangekaa kimya watu wangewasahau.Aiseee Mdee sikujua kama ana njaa namna hii.....Amefanya kazi zaidi ya 15 years lakini ameamua kuunga mkono juhudi ,hata aseme nini simtilii maanani.
Jitahidi ujue uchumi ndio upayuke, serikali yeyote haishindwi kulipa deni lá ndani kwa institution zake.Kimei nae kakabidhi akili Lumumba...
Mzee Halima anatafuta huruma kwa nguvu. Ndugai kawaingiza chaka. Hivi sasa anajaribu kuwapa muda wa upendeleo na hints za kuzungumzia ili kuwavutia walengwa japo nalo linazidi kuwadhalilisha. Ni bora wangekaa kimya watu wangewasahau.
Jitahidi ujue uchumi ndio upayuke, serikali yeyote haishindwi kulipa deni lá ndani kwa institution zake.
Na haitoweza kushindwa kwakuwa ikilazimika na ikaamua zile machine za kuweka namba mikaratasi inaamshwa na hayo mikaratasi yanageuka pesa. Kwenye Benki kuu kuna pesa nyingi mno za kitanzania, bila namba.,
Pesa za nje ndio huwezi kulipa mpaka uchumi wako uziingize pesa za kigeni katika mfumo wako na ndio huwa zako.
Kimei anajikomba apate ulaji...Hoja ya Kimei dhaifu sana, kitu kuwa chini ya serikali haina maana serikali ndio wanatakiwa kuchota pesa nyingi hapo kadri wanavyotaka, kama wanachota basi wahakikishe hawaiathiri hiyo mifuko kujiendesha hasa linapokuja suala la kuwalipa wastaafu, lakini serikali imekuww ikichota pesa nyingi huko kufanyia mambo yake na wanashindwa kuzirudisha kwa wakati ndio maana deni limekaribia kufika 10t.
Nauliza tena ubunge wa kujitegemea umeruhusiwa lini Tanzania?Mbunge Halima Mdee amemcharukia Mbunge wa Vunjo Charles Kimei baada ya Halima Mdee kuchangia kuwa Serikali imekopa fedha nyingi kwenye mifuko ya hifadhi za jamii kiasi cha trilioni 10 na kufanya mifuko hiyo na kutolipa madeni hayo kumefanya mifuko hiyo kushindwa kulipa mafao ya wastaafu ipasavyo.
Kimei aliingilia kati na kusema kuwa deni hilo haliathiri mifuko ya jamii kulipa mafao kwani mifuko hiyo pia ni sehemu ya serikali na serikali inaweza kuwapa fedha hizo wakati wowote endapo watakwama ndipo Halima Mdee akamcharukia.
Zaidi waweza kuwaikiliza mwenyewe.