mtaa umetulea
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 1,840
- 2,381
Huyo mzee mdee hata aongee amevua nguo mm naona upuuz tu anaongea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili lizee kweli leo limniboa , ina maana wao alipokuwa benki walikuwa wanakopesha mtu hela kwa sababu alikuwa na asset au alikua na pia na biashara inayozungusha hela?Dhamana hailipi deni, Kimei inatakiwa arudi shule, 'Kimei is running out of ideas, he has to go back to school, Assets do not pay loans' defending for the sake of defending, that is, convincing those who do not know it. ndiyo maana Msukuma watu wanampa hekoo! kwakuwashangaa wasomi wanao jito ufahamu, hapo hapo awali nilidhani anafaa kuwa waziri wa fedha kumbe nilikosea
Anataka teuzi huyo! maana alikuwa anajibu utadhani ni waziri aliyejitoa ufahamuHili lizee kweli leo limniboa , ina maana wao alipokuwa benki walikuwa wanakopesha mtu hela kwa sababu alikuwa na asset au alikua na pia na biashara inayozungusha hela?
Mzee Halima anatafuta huruma kwa nguvu. Ndugai kawaingiza chaka. Hivi sasa anajaribu kuwapa muda wa upendeleo na hints za kuzungumzia ili kuwavutia walengwa japo nalo linazidi kuwadhalilisha. Ni bora wangekaa kimya watu wangewasahau.
Mbunge Halima Mdee amemcharukia Mbunge wa Vunjo Charles Kimei baada ya Halima Mdee kuchangia kuwa Serikali imekopa fedha nyingi kwenye mifuko ya hifadhi za jamii kiasi cha trilioni 10 na kufanya mifuko hiyo na kutolipa madeni hayo kumefanya mifuko hiyo kushindwa kulipa mafao ya wastaafu ipasavyo.
Kimei aliingilia kati na kusema kuwa deni hilo haliathiri mifuko ya jamii kulipa mafao kwani mifuko hiyo pia ni sehemu ya serikali na serikali inaweza kuwapa fedha hizo wakati wowote endapo watakwama ndipo Halima Mdee akamcharukia.
Zaidi waweza kuwaikiliza mwenyewe.
Amepoteza credibility ,huyu uchaguzi ujao hamia kwa mataga kabisa.Aiseee Mdee sikujua kama ana njaa namna hii.....Amefanya kazi zaidi ya 15 years lakini ameamua kuunga mkono juhudi ,hata aseme nini simtilii maanani.
Duh jamani [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa Upuuzi alioufanya siwezi kumsikiliza chochote atakachokiongea ,atulie tu ale huo mshahara ,akishamaliza apumzike siasa maana si ccm wala cdm atarudi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona Mbowe ujamwambia Akae kimya?
Mnataka wakina mdee wakae kimya wakati viongozi wenu usiku mzima wapo kwenye mitandao tu
Kama kweli mlisusa basi kaeni kimya moja kwa moja
[emoji38][emoji38][emoji38]ni vita kati ya mbunge kutoka chama cha ndugai na ccm
Bora wewe kidogo. Mimi hata nimkute anaoga mtoni uchi. SitaangaliaKwa Upuuzi alioufanya siwezi kumsikiliza chochote atakachokiongea ,atulie tu ale huo mshahara ,akishamaliza apumzike siasa maana si ccm wala cdm atarudi.
Huyu Kimei naye empty head, hivi anajua kuwa kuna wastaafu wanatabika kwakukosa mafao yao!!!? Kama serikali inashindwa nini kuwalipa hao wastaafu wanaolalamika?Kimei aliingilia kati na kusema kuwa deni hilo haliathiri mifuko ya jamii kulipa mafao kwani mifuko hiyo pia ni sehemu ya serikali na serikali inaweza kuwapa fedha hizo wakati wowote endapo watakwama ndipo Halima Mdee akamcharukia.
Duh jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hoja zake hutaki kusikiliza.
Sitaki kumsikiliza mchumia TUMBO.
Uajua madhara ya kuprint hizo hela?Jitahidi ujue uchumi ndio upayuke, serikali yeyote haishindwi kulipa deni lá ndani kwa institution zake.
Na haitoweza kushindwa kwakuwa ikilazimika na ikaamua zile machine za kuweka namba mikaratasi inaamshwa na hayo mikaratasi yanageuka pesa. Kwenye Benki kuu kuna pesa nyingi mno za kitanzania, bila namba.,
Pesa za nje ndio huwezi kulipa mpaka uchumi wako uziingize pesa za kigeni katika mfumo wako na ndio huwa zako.
Hama inchi njoo 2025
Mbunge Halima Mdee amemcharukia Mbunge wa Vunjo Charles Kimei baada ya Halima Mdee kuchangia kuwa Serikali imekopa fedha nyingi kwenye mifuko ya hifadhi za jamii kiasi cha trilioni 10 na kufanya mifuko hiyo na kutolipa madeni hayo kumefanya mifuko hiyo kushindwa kulipa mafao ya wastaafu ipasavyo.
Kimei aliingilia kati na kusema kuwa deni hilo haliathiri mifuko ya jamii kulipa mafao kwani mifuko hiyo pia ni sehemu ya serikali na serikali inaweza kuwapa fedha hizo wakati wowote endapo watakwama ndipo Halima Mdee akamcharukia.
Zaidi waweza kuwaikiliza mwenyewe.
Kimei anazingua kweli, na sijui anatuona sisi ni wajinga sana? Yeye ameshiba ndio maana, kwa sababu alipostaafu mwaka 2019, akiwa amefanya kazi tangu mwaka 1998, alilipwa mafao yake yote. Pia Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB ikamzawadia gari la kifahari aina ya Toyota Land Cruiser V8, new model 2018, lenye thamani ya Tsh milion 400 ikiwa ni shukrani ya kutambua mchango wake.Hoja ya Kimei dhaifu sana, kitu kuwa chini ya serikali haina maana serikali ndio wanatakiwa kuchota pesa nyingi hapo kadri wanavyotaka, kama wanachota basi wahakikishe hawaiathiri hiyo mifuko kujiendesha hasa linapokuja suala la kuwalipa wastaafu, lakini serikali imekuww ikichota pesa nyingi huko kufanyia mambo yake na wanashindwa kuzirudisha kwa wakati ndio maana deni limekaribia kufika 10t.