Halima Mdee amcharukia Kimei Bungeni, kuhusu deni la Serikali kwa mifuko ya hifadhi ya Jamii

Hili lizee kweli leo limniboa , ina maana wao alipokuwa benki walikuwa wanakopesha mtu hela kwa sababu alikuwa na asset au alikua na pia na biashara inayozungusha hela?
 
Hili lizee kweli leo limniboa , ina maana wao alipokuwa benki walikuwa wanakopesha mtu hela kwa sababu alikuwa na asset au alikua na pia na biashara inayozungusha hela?
Anataka teuzi huyo! maana alikuwa anajibu utadhani ni waziri aliyejitoa ufahamu
 
Mzee Halima anatafuta huruma kwa nguvu. Ndugai kawaingiza chaka. Hivi sasa anajaribu kuwapa muda wa upendeleo na hints za kuzungumzia ili kuwavutia walengwa japo nalo linazidi kuwadhalilisha. Ni bora wangekaa kimya watu wangewasahau.

Mbona Mbowe ujamwambia Akae kimya?
Mnataka wakina mdee wakae kimya wakati viongozi wenu usiku mzima wapo kwenye mitandao tu

Kama kweli mlisusa basi kaeni kimya moja kwa moja
 
ni vita kati ya mbunge kutoka chama cha ndugai na ccm
 
Kimei lazima atetee si walikuwa wanapigiana danadana siri kali wanajuanà vizuri
 
Kwa Upuuzi alioufanya siwezi kumsikiliza chochote atakachokiongea ,atulie tu ale huo mshahara ,akishamaliza apumzike siasa maana si ccm wala cdm atarudi.
Duh jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hoja zake hutaki kusikiliza.
 
Mbona Mbowe ujamwambia Akae kimya?
Mnataka wakina mdee wakae kimya wakati viongozi wenu usiku mzima wapo kwenye mitandao tu

Kama kweli mlisusa basi kaeni kimya moja kwa moja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wote si wabunge wa kuteuliwa wanachogombea Ni Nini Sasa ?
Usije ukakosea ukasema Kuna aliyechagukiwa, watu wa Kilimanjaro hawachagui CCM tangu enzi za Mrema
 
Kimei aliingilia kati na kusema kuwa deni hilo haliathiri mifuko ya jamii kulipa mafao kwani mifuko hiyo pia ni sehemu ya serikali na serikali inaweza kuwapa fedha hizo wakati wowote endapo watakwama ndipo Halima Mdee akamcharukia.
Huyu Kimei naye empty head, hivi anajua kuwa kuna wastaafu wanatabika kwakukosa mafao yao!!!? Kama serikali inashindwa nini kuwalipa hao wastaafu wanaolalamika?
 
Uajua madhara ya kuprint hizo hela?
 
Ulijituma mwenyewe bungeni.pokea taarifa
 
Kimei anazingua kweli, na sijui anatuona sisi ni wajinga sana? Yeye ameshiba ndio maana, kwa sababu alipostaafu mwaka 2019, akiwa amefanya kazi tangu mwaka 1998, alilipwa mafao yake yote. Pia Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB ikamzawadia gari la kifahari aina ya Toyota Land Cruiser V8, new model 2018, lenye thamani ya Tsh milion 400 ikiwa ni shukrani ya kutambua mchango wake.
Vile vile katika kuhakikisha mstaafu huyo anaishi maisha mazuri, menejimenti ya benki hiyo imemnunulia hisa za thamani ya Tsh milioni 10.
Vile vile katika kuhakikisha mstaafu huyo na familia yake wanahakikishiwa usalama wa afya na mali zao, Mkurugenzi mkuu wa CRDB Insurance Broker ambayo ni taasisi ya benki hiyo inayohusika na Bima, Arthur Mosha, akatangaza kumpatia Dk Kimei bima ya mali zake zote na familia yake kwa kipindi Cha miaka 5, bima ambayo inamlinda hadi hivi sasa. Kwa shibe hiyo unadhani anaweza kuona kama kuna wastaafu huko wanateseka kutokana na serikali kukopa pesa za mafao yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…