Uchaguzi 2020 Halima Mdee apelekwa kupekuliwa nyumbani kwake na Jeshi la Polisi baada ya kwenda kuripoti matukio ya kutishiwa amani

Jeshi linafanya Mambo ya kipumbavu sana

Yaaani victim anageuzwa threat upuuzi

Tukisema jeshi Galina weledi kelele kibao Kama chura

Mbadilike

Mnachofanya sio fair
 
Huu mwaka waache Zanzibar kwa upinzani, wasituletee mambo 2015, ile ni aibu Kwakweli.
 
Ni kura za wazanzibar ndiyo zinazoamua siyo hisia za wanasiasa uchwara kama wewe!

Mkuu kuna watu wameshashindwa wanachofanya ni kuandaa vidumu vya petrol, visu na mawe

Waambie vijana wako wakapige kura warudi nyumbani kufuatilia matokeo ili hao waliojiandaa wabaki wenyewe huko mabarabarani
 
Humu JF wengi ni wabeba mabox hata kupigakura hawapigi ila wako nyuma ya keyboard tu. Hayo mafuta watayatoa wapi huku JF!? Hahahaha..
 
Wapiga kura huko mtaani wanasema hawataki blahblah
Wanaenda na John Pombe Magufuli
 
Back
Top Bottom