Halima Mdee apoteza Jimbo la Kawe, Gwajima aibuka kidedea

[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

 
Unampenda sana musiba maana kila comment hauwezi acha kumuongelea kiazi wewe.
Cyprian Musiba alikwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi Tundu lisu na huyo cyprian Musiba ndiyo ana tenda kubwa ya kuitetea CCM mitandaoni lazima nimlime dakika zote.
 
Ona sasa umeenda kwingineeeee hujui ushike lipi uache lipi
Umeuliza ni kwa nini namtaja cyprian Musiba kila kona nimekupa jibu , sasa unaenda kwingine wewe mwenyewe ebu acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni.
 
Huyu Gwajima hakuna matusi ambayo hakutukanwa,ila akakaza ileile. Yule mtoto wa Dada angechemsha mapema Sana. Kwaheri sauti ya zege.
Jiandaeni tena kuishi kwa wasiwasi miaka mitano ijayo.

Kutumbuliwa any time.
 
Yani kwa furaha uliyonayo,utagongwa Leo mpaka basi.
 
Mfano ya Zanzibar we inakuingia akilini kweli.76%ccm,haijawa kutokea.
Mi nasema ni wizi mtupu.(in masanjas voice)
 
Toka nizaliwe sijapata kuona, macho na ubongo wangu vinadhani naota[emoji848][emoji848][emoji15]

Au naota kweli wakuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…