Halima Mdee apoteza Jimbo la Kawe, Gwajima aibuka kidedea

Halima Mdee apoteza Jimbo la Kawe, Gwajima aibuka kidedea

Mimi nashangaa hawa watu “wanaibaje kura” kwa magap haya?

Maana lazima namba itally na idadi ya wapiga kura ambayo haiwezi kuzidi idadi ya wote walioandikishwa kupiga kura kwenye jimbo husika.

CCM wana PhD ya wizi wa kura. Hawa wanaongoza kwa mbinu Afrika mashariki kusini na kati

View attachment 1615769
Hilo bango ni la kutungwa na mashabiki tu, siyo matokeo ya kweli hayo
 
Ila pia kumbukeni Ni hatari zaidi kukosekana kwa wapinzani makini Kama ZZK, Mbowe na Heche Mbugeni.
Kupinga pinga kwao ndo sababu ya maendeleo ya taifa hili.
Kweli kabsaa.

Kwa mwendo huu muda c mrefu wananchi woote kwa pamoja tutaongea lugha moja bila kujali tofauti za itikadi, nk
 
Naona wananchi zaidi ya 110,000 walisahau kumpigia kura Gwaji boy [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20201030_124938_257.JPG
 
Mpaka sasa Halima Mdee wa CHADEMA amepoteza Jimbo lake la Kawe baada ya Askofu Josephat Gwajima wa CCM kumshinda kwa Kura 194,833
huku yeye akiwa naKura 32,524

Nini maoni yako?

Mwandishi wako: EmmanuelKasomi


Ushindi gani huo?
 
Mpaka sasa Halima Mdee wa CHADEMA amepoteza Jimbo lake la Kawe baada ya Askofu Josephat Gwajima wa CCM kumshinda kwa Kura 194,833
huku yeye akiwa naKura 32,524

Nini maoni yako?

Mwandishi wako: EmmanuelKasomi
Huyu ni kiongozi wa dini lakini Kuna walakini Kama huu sasa km kiongozi na mwakilishi wa haki,ajitafakari na asimamie haki ili auone ufalme wa mbinguni,aseme nani kashinda na asitetereke maana maisha Bora ni kuwa karibu na mungu baba,hii ni takwimu ya uchaguzi hapo jimboni kwake KAWE

Kawe:
Waliojiandikisha 412,180
Waliopiga kura 233,518
Kura Halali ni 231,186
Kura zilizoharibika 1653

Matokeo:
Ubunge:

UDP - 72
UMD-51
UPDP-44
TLP-67
SAU-53
NLP-43
NCCR-279
DEMOKRASIA MAKINI -39
DP-60
CUF-461
CHAUMA-426
CCK-1422
ACT-585
AFR-374
CHADEMA-32,524
CCM-194,833

Tupige hesabu vzur sasa..

Tukijumlisha hizo idadi ya kura za hao wabunge unapata jumla 231,333. Kwenye takwimu hii figure haipo

Tukichukua kura zilizoharibika tukijumlisha kura halali si tunatakiwa tupate jumla ya kura zote zilizopigwa mbona figure inakuja tofauti?

i.e

233,186 +1,653= 234,839
Hii figure pia haipo kwenye takwimu,au mie nakosea sehem ndugu zangu embu nisaidieni basi

Bado kura za alizopata raisi kwa kawe ni zaidi ya idadi ya waliopiga kura KAWE
 
Yani kwa furaha uliyonayo,utagongwa Leo mpaka basi.
SUBIRI MPAKA 2080 CHADEMA ikitwaa nchi mapunga na Ushoga uruhusiwe ili wewe upasuliwe vizuri huko nyuma na kina Amsterdam,, nasikia Mbowe anasubiri masaa 72 mpaka leo aapishe kuwa Waziri mkuu😉😉😉😉
 
Na sasa Halima Mdee ni mbunge.

Analipwa mshahara na posho ila hana chama.

Tanzania imeruhusu mgombea huru tangu lini?
 
Back
Top Bottom