Hilo bango ni la kutungwa na mashabiki tu, siyo matokeo ya kweli hayoMimi nashangaa hawa watu “wanaibaje kura” kwa magap haya?
Maana lazima namba itally na idadi ya wapiga kura ambayo haiwezi kuzidi idadi ya wote walioandikishwa kupiga kura kwenye jimbo husika.
CCM wana PhD ya wizi wa kura. Hawa wanaongoza kwa mbinu Afrika mashariki kusini na kati
View attachment 1615769
Hawa wahuni utafikiri woote ni Warundi.Walimu, Polisi, NEC, TCRA Ndio nyota wa hii game..ila polisi nyie polisi Mungu yupo. Nyie Polisi mmegeuka kama sio watz...nyie watu hamna utu
Kweli kabsaa.Ila pia kumbukeni Ni hatari zaidi kukosekana kwa wapinzani makini Kama ZZK, Mbowe na Heche Mbugeni.
Kupinga pinga kwao ndo sababu ya maendeleo ya taifa hili.
Who is hero here? All of them are dam!! let them go to hell!!View attachment 1615667
We will always love you our heroes
Mpaka sasa Halima Mdee wa CHADEMA amepoteza Jimbo lake la Kawe baada ya Askofu Josephat Gwajima wa CCM kumshinda kwa Kura 194,833
huku yeye akiwa naKura 32,524
Nini maoni yako?
Mwandishi wako: EmmanuelKasomi
Huyu ni kiongozi wa dini lakini Kuna walakini Kama huu sasa km kiongozi na mwakilishi wa haki,ajitafakari na asimamie haki ili auone ufalme wa mbinguni,aseme nani kashinda na asitetereke maana maisha Bora ni kuwa karibu na mungu baba,hii ni takwimu ya uchaguzi hapo jimboni kwake KAWEMpaka sasa Halima Mdee wa CHADEMA amepoteza Jimbo lake la Kawe baada ya Askofu Josephat Gwajima wa CCM kumshinda kwa Kura 194,833
huku yeye akiwa naKura 32,524
Nini maoni yako?
Mwandishi wako: EmmanuelKasomi
SUBIRI MPAKA 2080 CHADEMA ikitwaa nchi mapunga na Ushoga uruhusiwe ili wewe upasuliwe vizuri huko nyuma na kina Amsterdam,, nasikia Mbowe anasubiri masaa 72 mpaka leo aapishe kuwa Waziri mkuu😉😉😉😉Yani kwa furaha uliyonayo,utagongwa Leo mpaka basi.