Halima Mdee bado una nafasi ya kutubu, Heshima na tamaa havikai pamoja

“Halima ni mbunge wa CHADEMA vyovyote vile iwavyo, awe ameenda kwa halali au kwa mlango usio halali”

Sasa unataka tujadili kitu gani kama umeisha conclude.
 
Mkuu huyo ni mbwa mwitu amejivika ngozi ya kondoo
 
Naona mnakanyagana tu sasa hivi
 
That’s fine itawarahisishia kazi kamati kuu, walipewa nafasi ya kujitetea hawakuja, hata mahakamani usipohudhuria unakosa haki yako.
Wako tayari na kesho Mdee ataongea na waandishi I'm sure mtashangaa
 
Wako tayari na kesho Mdee ataongea na waandishi I'm sure mtashangaa
Hakuna anayemzuia kuongea, akifukuzwa ataongea kama yeye lkn si kama mwanachama wa Chadema.
 
Yaani CDM ife kwa sababu ya Mdee na wenzake? Haupo serious.
Aliondoka Zitto,Slaa, Warid Kaborou na hao lowasa na Sumaye sembuse hao tu?
 
Hakuna anayemzuia kuongea, akifukuzwa ataongea kama yeye lkn si kama mwanachama wa Chadema.
Huna unalojua so kaa kimya tu
Mpaka Sasa kamati kuu imeshajigawa, wengine hawataki huo ujinga

Na kikao kipo bahari Beach na sio mtaa wa ufipa

Au nikutumie na picha?
 
Huna unalojua so kaa kimya tu
Mpaka Sasa kamati kuu imeshajigawa, wengine hawataki huo ujinga

Na kikao kipo bahari Beach na sio mtaa wa ufipa

Au nikutumie na picha?
Endelea kuota
 
Huna unalojua so kaa kimya tu
Mpaka Sasa kamati kuu imeshajigawa, wengine hawataki huo ujinga

Na kikao kipo bahari Beach na sio mtaa wa ufipa

Au nikutumie na picha?
Picha hiyo hapo.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…