Halima Mdee bado una nafasi ya kutubu, Heshima na tamaa havikai pamoja

Wakiitisha maandamano hamjitokezi, wakiwekwa selo mnaishia kupiga hashtag Twitter ohh #freesomebody# upinzani wanawapigania watz ila nyinyi mko bize na kusaka mkate wenu, waacheni nao wasake matonge yao!
😎
 
Uu uzi umemgusa Halima na wenzie,na kwasasa Halima ni Dada wa taifa.
Kila mtanzania mzalendo anahaki ya kumtetea Dada Halima na wenzie kwamsalahi mapana ya taifa.

Kwa hakika mkisikia maridhiano - kwenu ni msiba!

Wachawi waanga wakubwa nyie!

Ndiyo maana kwenye kanda pendwa wazee na maalbino ni source ya mali ghafi muhimu!

Hiiii bagosha!
 
Pole sana Halima nasikia ombi lako la kuwataka wenyeviti bawacha nchi nzima kesho wafike dar wamekugomea.
 
Waliomchangia faini atoke jela walikuwa wana CCM.
Nusrat hanje alikuwa selo kwa kosa la kubambikiwa ugaidi, kosa lisilokuwa na dhamana, michango yenu wanacdm au hashtag Twitter za freehanje# zingesaidia nini? Yaani nyie mnataka akina nusrat wateseke jela kwa ajili yenu huku nyie mkila bata mtaani? Nao ni binadamu inafikia muda wanakata tamaa!
 
Kwa hakika mkisikia maridhiano - kwenu ni msiba!

Wachawi waanga wakubwa nyie!

Ndiyo maana kwenye kanda pendwa wazee na maalbino ni source ya mali ghafi muhimu!

Hiiii bagosha!
Achana na ukabila bwashee,stick kwenye mada.
 
Sharti walilopewa lilikuwa ni moja tu
Waukubali huo ubunge wa viti maalumu au wauwae, Halima akaona isiwe kesi maisha bado matamu ngoja niende kwa job ndugai nikaape japo kwa kinafki nafki
 
wee mdanganye tuu, hukumu ya snitcher ni kupigwa risasi ya kichwaa tuu au kunyongwa hadharan na hili halina mjadala na walla si vinginevyo, na wanao mtetea vile vile rissasi za kichwa bila hurumaa…….ova!
Hata Rais Magufuli amewahi kusema msaliti anastahili kutandikwa Risasi,
 
Sharti walilopewa lilikuwa ni moja tu
Waukubali huo ubunge wa viti maalumu au wauwae, Halima akaona isiwe kesi maisha bado matamu ngoja niende kwa job ndugai nikaape japo kwa kinafki nafki

Kesho saa mbili juu ya alama, uzee mwisho chalinze!

Mtoto hatumwi dukani.
 
Achana na ukabila bwashee,stick kwenye mada.

Niko very much kwenye mada nikitambua kuwa imeandikwa, "Heri wapatanishi kwani hao wataitwa wana wa Mungu."

Kinyume chake ni washabikia mifarakano wachawi na waanga. Nyinyi hao. Wenye kukaanga mbuyu na kuwaachia wenye meno watafune.

Waanga na wachawi sekeseke lake anakotokea mzee baba shujaa wenu ni kwenye ukanda wake pendwa.

Au ulishamwambia sasa teuzi zake zisahau u kanda? Au kunya anye kuku tu?
 
Kuna kibabu kimoja huwa tunaambiwa kilishinda kwa kishindo ila cha ajabu na cha kushangaza hicho hicho kishindo kinamshinda.
 
Kina Halima na wenzake msiwaonee wanabaraka za chairman.
Mkuu haonelewi mtu. Hili liko wazi:

"2. Wekeni wazi bila kuficha kama ni Hadaa, ghiliba, ahadi, vitisho, nk na mkiwaweka wazi wote waliohusika na sarakasi hii. Koleo na likaitwe kwa jina lake."

A spade should be called by its name. Tuna usongo na wahusika wote be it Lissu, Mbowe, Jiwe, Bashiri, chakubanga, supika nk.

Shida iko wapi, mtanange unaanza saa mbili juu ya alama. Mtoto hatumwi dukani!
 
Swali kidogo, sheria za bunge la Tanzania haziruhusu wabunge wa kujitegemea, yaani wabunge binafsi, Jee hawa wabunge 19 watafanyaje au watafanywaje na bunge ikiwa jumamosi katika mkutano wao chadema wakiamua kuwafukuza uanachama?
Tutasubiri unafiki wa msajili wa vyama. Wa cuf walifutwa uanachama na bungeni wakatolewa, sasa tutaona kwa hawa.
 
Miaka yote CCM walimwita msagaji chadema wakamtetea Leo hii anawasaliti chadema ooook ....!
 
Tatizo ni tafsiri ya hilo neno heshima, sijui kwako linamaanisha nini! Halima ni mbunge wa CHADEMA vyovyote vile iwavyo, awe ameenda kwa halali au kwa mlango usio halali.
Halafu siasa sio dini kwamba MTU anaogopa namna bora au mbaya ya kufikia kilele cha malengo yake. Ndiyo maana hata Mbowe hutafuta kila namna kuhakikisha anabaki kwenye uenyekiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…