johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
deni la kurith mkuu, hata ukiondoka duniani kizazi chako kitalilipa tu - kweli hii si HAKI kabisa.mi sidaiwi
nalipa kodi kila siku
Tusifukue makaburi ya mwendazake maana alikuwa anabana matumiziYakitajwa haya madeni, naona kama wanamsimanga mwendazake. Maana ali-double deni la Taifa kwa miaka 5! Alafu alijigamba Eti tunatengeneza miradi kwa pesa zake.
Hebu lingajisha na wakati JK au mkapa tulikua tunaida wastan wa kiasi gani per capital.Hebu tupige hesabu kidogo Trilion 71 = 71,000,000,000,000/=
Haya Lets say watanzania wote tupo 60,000,000. Gawanya hapo tupate jibu kila mtu ajue deni lake.
71,000,000,000,000
----------------------------- = 1,180,000.
60,000,000
OK!! Kila Mtanzania kuanzia wazee, watoto na vijana kila mmoja anadaiwa Tshs 1,180,000. Kila mtu afe na deni lake mi nataka kwenda kulilipa sitaki madeni.
KwakweliMi sidaiwi, nalipa kodi kila siku.
Kwa mwendo huu beberu lazima ampande mbuzi hakuna namnaMbunge wa viti maalumu asiyefungamana na upande wowote Halima Mdee amesema kwa mujibu wa ripoti ya BoT ya February 2021 deni la taifa limefikia tsh 71 trillion.
Hi maana yake ni kama kila mtanzania anadaiwa tsh 1 milion na points.
Mdee alikuwa akichangia hotuba ya mpango wa maendeleo.
Ngoja niitafute hiyo ripoti nijiridhishe.
Ramadhan Kareem!
Wana jukumu la kutuonyesha jinsi wanavyojua kutumia fweza!nchi ina madeni lukuki huku wabunge wanalipwa posho za kijinga kbs wakati hawana tija yoyote
mie sidaiwi watajua wenyew waliokopa
43 na usheheHivi JK katika miaka 10 alituacha na deni la Tsh ngapi?