Halima Mdee: Deni la Taifa limefika Tsh. 71 trillion, maana yake kila mtanzania anadaiwa Tsh. 1 million na ushee

Halima Mdee: Deni la Taifa limefika Tsh. 71 trillion, maana yake kila mtanzania anadaiwa Tsh. 1 million na ushee

Hizo pesa Trilioni 71 alipeleka kwenya akaunti zake binafsi za uswisi? very poor argument.Barabara zilizojengwa huzioni? umeme kila kijiji huuoni? Elimu bure huioni? Ndege huzioni? Vituo vya afya nchi nzima huvioni? nk wewe kipofu?
Mjinga wewe kwani wakoloni hawakujenga hospitali, shule, reli, barabara n.k? mjinga sn muimbe pesa ya umma mjifiche kwenye kujenga vitu, shame on you
 
Tatizo la wasomi kama mdee ni ujinga .Baadhi ya Vyuo vyetu vinazalisha watu wenye IQ ndogo mno.Wansona deni utafikiri wakopeshaji badala ya kuona vitu vilivyofanywa na hiyo Trilioni 71 imefanya kazi hukua hiyo hela ambayo iko kwenye miradi kamilika au endelea halafu gawia Kila mtanzania kwa hiyo miradi yote ya barabara na majengo nk halaf ujue kila mmoja anamiliki mali ya kiasi gani kwenye ndege zote zilizonunuliwa na barabara zote zilizojengwa ikiwemo miradi ya umeme na hospitali nk

Kuangalia nchi inadaiwa kiasi gani hiyo hasa ni kazi ya mkopeshaji wewe mkopaji unatakiwa kuangalia kilichofanyika ukigawa wananchi wako kila mmoja ana Asset kiasi gani kwa makert value ya sasa

Tatizo la wasomi wetu ni kumeza tu notisi vyuoni logic wengi wako zero akiwemo.Mdee nk huko bungeni ndio maana hadi bungeni akina msukuma na kibajaji ambao ni darasa la saba wanawaporomoshea matusi wasomi mchana kweupe
Wewe tapeli na huo usomi wako uchwara, taja km ngapi za barabara, shule, vituo vya afya, vyuo vikuu, hospitali za rufaa ngapi? usilete blabla hapa
 
Kila mmoja alipe laki tano tupunguze deni .
 
Mjinga wewe kwani wakoloni hawakujenga hospitali, shule, reli, barabara n.k? mjinga sn muimbe pesa ya umma mjifiche kwenye kujenga vitu, shame on you
Walijenga za kubeba malighafi kupeleka kwao sio kutufaidisha watanzania.Na zilijengwa bure kwa kutulazimisha kujenga bila mshahara au kwa ujira mdogo

Reli ya mwanza kigoma ilifuata pamba na tumbaku na madini yaliyoko mwanza na shinyanga na kongo na Kahawa ya Kagera

Reli na barabara kwenda moshi na Arusha ilikuwa kufuata chai na kahawa na katani
Barabara nyanda za juu ilikuwa kufuata chai na kahawa na tumbaku na katani morogoro

Kwenye shule hakukuwa na shule za bure zilikuwepo za Wamissionari tu mkoloni hakujenga hata moja .Zilikuwa private schools za kulipia. .Watu kama wewe mbowe na Lisu msingesoma.Sababu wazazi wenu walikuwa malofa ndio maana wote mlisoma shule za serikali

Humjui mkoloni wewe

Tatizo.ls kukariri notisi shuleni hilo bafala ya kuelewa
 
Mbunge wa viti maalumu asiyefungamana na upande wowote Halima Mdee amesema kwa mujibu wa ripoti ya BoT ya February 2021 deni la taifa limefikia tsh 71 trillion.

Hi maana yake ni kama kila mtanzania anadaiwa tsh 1 milion na points.
Mdee alikuwa akichangia hotuba ya mpango wa maendeleo.

Ngoja niitafute hiyo ripoti nijiridhishe.

Ramadhan Kareem!
Habari ya madeni madeni mimi sijui wala sidaiwi, ninachojua ni ahadi ya Mwedazake kuwa makanikia yakiuzwa kila mtanzania atakuwa na NOAH ya kutembelea sawa na wananchi wa QATAR
 
Hili deni sisi halituhusu, mali za Jiwe na wote waliokuwa wakila mezani pake walipe haraka.
Tunalitambua deni lile alilotuachia JK tu.
Jiwe miradi yote kajenga kwa pesa za ndani.Sasa deni limepandaje?
 
Walijenga za kubeba malighafi kupeleka kwao sio kutufaidisha watanzania.Na zilijengwa bure kwa kutulazimisha kujenga bila mshahara au kwa ujira mdogo

Reli ya mwanza kigoma ilifuata pamba na tumbaku na madini yaliyoko mwanza na shinyanga na kongo na Kahawa ya Kagera

Reli na barabara kwenda moshi na Arusha ilikuwa kufuata chai na kahawa na katani
Barabara nyanda za juu ilikuwa kufuata chai na kahawa na tumbaku na katani morogoro

Kwenye shule hakukuwa na shule za bure zilikuwepo za Wamissionari tu mkoloni hakujenga hata moja .Zilikuwa private schools za kulipia. .Watu kama wewe mbowe na Lisu msingesoma.Sababu wazazi wenu walikuwa malofa ndio maana wote mlisoma shule za serikali

Humjui mkoloni wewe

Tatizo.ls kukariri notisi shuleni hilo bafala ya kuelewa
Kahiyo waliondoka nazo? mpuuzi kweli
 
Mpuuzi wewe reli yao huitumii mpk leo, shule, makanisa, hospitali, barabara zao?
Shule zipi alizoacha mkolon? mkoloni hakuacha zilikuwa za kanisa na kanisa lipo hadi leo tunasali wenyewe .Kanisa la mkoloni lipi ? hivyo vikanisa vidogo walikuwa wakisali wazungu mengi yalishaanguka yaliyobaki ya kuhesabu vidogo na vimekarabatiwa na sisi wenyewe viwe makumbusho ya taifa .Vibarabara vilikuwa hata huwezi pushana gari mbili na zilikuwa za vumbi

Hispitali zilikuwa za wamisionari sio wakoloni.Mkoloni hakujenga Govermnment hospital

Wamisionari ndio walitusaidia mkoloni alikuwa mpuuzi sana
 
Wanasema ukitumia mabavu kuongoza watu lakini ukakosa legitimate ya kuongoza wewe mwenyewe ipo siku utakuja prove kuwa haufai kuwa kiongozi wa inchi sababu ya kukosa uhalali hata vijana utakaowapika hawataiva wala kuwa na vigezo vya uhalali.

Baba ukishakuwa mtovu wa nidhamu watoto watakuwaje wasafi.....
 
Na kila Marekani anadaiwa takribani milioni 143 za kiTanzania,,Hizi siasa za kutoa sound bites zinazotisha ,zinatusaidiaje?hivi developing country unataka usidaiwe,kama tunataka hivyo ,let's become a high tax state kama Britain
 
Back
Top Bottom