Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huoni miradi mikubwa inayoendelea ?Pesa za madini, utalii, kodi, matozo huwa zinakwenda wapi hivi!?
Nyingi zinaishia kulipa mishahara na posho za wabunge na wafanyakazi wa SerikaliHuoni miradi mikubwa inayoendelea ?
Masahihisho: Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Halima James Mdee.Mbunge wa viti maalumu asiyefungamana na upande wowote Halima Mdee
UshuziMasahihisho: Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Halima James Mdee
HALIMA NA WAHUNI 18 NDII WAMELIPANDISHA HILO DENI KWA KULIPWA MISHAHARA WAKATI WAO SIO WABUNGE HALALIMbunge wa viti maalumu asiyefungamana na upande wowote Halima Mdee amesema kwa mujibu wa ripoti ya BoT ya February 2021 deni la taifa limefikia Tsh. 71 trillion.
Hi maana yake ni kama kila mtanzania anadaiwa tsh 1 milion na points.
Mdee alikuwa akichangia hotuba ya mpango wa maendeleo.
Ngoja niitafute hiyo ripoti nijiridhishe.
Ramadhan Kareem!
Kwa hiyo miradi inaendeshwa na nini mbona hatuelewi.Huoni miradi mikubwa inayoendelea ?
Nindababu chadema wwanasumbuaHivi wale jamaa waliosema kwamba wanajenga kwa pesa za.ndani wanaweza tueleza deni limefikaje hapo?