Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mjinga wewe kwani wakoloni hawakujenga hospitali, shule, reli, barabara n.k? mjinga sn muimbe pesa ya umma mjifiche kwenye kujenga vitu, shame on youHizo pesa Trilioni 71 alipeleka kwenya akaunti zake binafsi za uswisi? very poor argument.Barabara zilizojengwa huzioni? umeme kila kijiji huuoni? Elimu bure huioni? Ndege huzioni? Vituo vya afya nchi nzima huvioni? nk wewe kipofu?
Wewe tapeli na huo usomi wako uchwara, taja km ngapi za barabara, shule, vituo vya afya, vyuo vikuu, hospitali za rufaa ngapi? usilete blabla hapaTatizo la wasomi kama mdee ni ujinga .Baadhi ya Vyuo vyetu vinazalisha watu wenye IQ ndogo mno.Wansona deni utafikiri wakopeshaji badala ya kuona vitu vilivyofanywa na hiyo Trilioni 71 imefanya kazi hukua hiyo hela ambayo iko kwenye miradi kamilika au endelea halafu gawia Kila mtanzania kwa hiyo miradi yote ya barabara na majengo nk halaf ujue kila mmoja anamiliki mali ya kiasi gani kwenye ndege zote zilizonunuliwa na barabara zote zilizojengwa ikiwemo miradi ya umeme na hospitali nk
Kuangalia nchi inadaiwa kiasi gani hiyo hasa ni kazi ya mkopeshaji wewe mkopaji unatakiwa kuangalia kilichofanyika ukigawa wananchi wako kila mmoja ana Asset kiasi gani kwa makert value ya sasa
Tatizo la wasomi wetu ni kumeza tu notisi vyuoni logic wengi wako zero akiwemo.Mdee nk huko bungeni ndio maana hadi bungeni akina msukuma na kibajaji ambao ni darasa la saba wanawaporomoshea matusi wasomi mchana kweupe
Wa chama cha NdugaiMbunge wa viti maalum asiyefungamana na upande wowote [emoji1787][emoji1787]
Walijenga za kubeba malighafi kupeleka kwao sio kutufaidisha watanzania.Na zilijengwa bure kwa kutulazimisha kujenga bila mshahara au kwa ujira mdogoMjinga wewe kwani wakoloni hawakujenga hospitali, shule, reli, barabara n.k? mjinga sn muimbe pesa ya umma mjifiche kwenye kujenga vitu, shame on you
Habari ya madeni madeni mimi sijui wala sidaiwi, ninachojua ni ahadi ya Mwedazake kuwa makanikia yakiuzwa kila mtanzania atakuwa na NOAH ya kutembelea sawa na wananchi wa QATARMbunge wa viti maalumu asiyefungamana na upande wowote Halima Mdee amesema kwa mujibu wa ripoti ya BoT ya February 2021 deni la taifa limefikia tsh 71 trillion.
Hi maana yake ni kama kila mtanzania anadaiwa tsh 1 milion na points.
Mdee alikuwa akichangia hotuba ya mpango wa maendeleo.
Ngoja niitafute hiyo ripoti nijiridhishe.
Ramadhan Kareem!
Haya ngoja tukubali tufanye 71-43 = 2843 na ushehe
Kahiyo waliondoka nazo? mpuuzi kweliWalijenga za kubeba malighafi kupeleka kwao sio kutufaidisha watanzania.Na zilijengwa bure kwa kutulazimisha kujenga bila mshahara au kwa ujira mdogo
Reli ya mwanza kigoma ilifuata pamba na tumbaku na madini yaliyoko mwanza na shinyanga na kongo na Kahawa ya Kagera
Reli na barabara kwenda moshi na Arusha ilikuwa kufuata chai na kahawa na katani
Barabara nyanda za juu ilikuwa kufuata chai na kahawa na tumbaku na katani morogoro
Kwenye shule hakukuwa na shule za bure zilikuwepo za Wamissionari tu mkoloni hakujenga hata moja .Zilikuwa private schools za kulipia. .Watu kama wewe mbowe na Lisu msingesoma.Sababu wazazi wenu walikuwa malofa ndio maana wote mlisoma shule za serikali
Humjui mkoloni wewe
Tatizo.ls kukariri notisi shuleni hilo bafala ya kuelewa
Swali lako halieleweki na halina mantiki.Kodi zote waliondoka nazo kwenda nazo kwao.Kujenga nchi zao wakatuacha sisi tuko zeroKahiyo waliondoka nazo? mpuuzi kweli
Mpuuzi wewe reli yao huitumii mpk leo, shule, makanisa, hospitali, barabara zao?Swali lako halieleweki na halina mantiki.Kodi zote waañliondoka nazo kwenda nazo kwao
Shule zipi alizoacha mkolon? mkoloni hakuacha zilikuwa za kanisa na kanisa lipo hadi leo tunasali wenyewe .Kanisa la mkoloni lipi ? hivyo vikanisa vidogo walikuwa wakisali wazungu mengi yalishaanguka yaliyobaki ya kuhesabu vidogo na vimekarabatiwa na sisi wenyewe viwe makumbusho ya taifa .Vibarabara vilikuwa hata huwezi pushana gari mbili na zilikuwa za vumbiMpuuzi wewe reli yao huitumii mpk leo, shule, makanisa, hospitali, barabara zao?
Hivi JK katika miaka 10 alituacha na deni la Tsh ngapi?