Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Ni jambo jema, kweli itatuweka huru.Ni jambo rahisi tu la kusema mchakato wa kuwapata hao wabunge 19 ndani ya chama ulifanyikaje na majina yao pale NEC yalipelekwa na nani.
Hakuna siri ya kusubiri rufaa ndio ueleze ikiwa mchakato wote ulifuata katiba ya Chadema.
Hadi sasa picha waliyonayo wananchi ni kwamba wabunge wa viti maalumu Chadema hupatikana kwa njia za panya yaani kwa utaratibu usio rasmi.
Maendeleo hayana vyama!
Mbowe hana shida na viti maalum wewe. Ndugai na Jiwe ndiyo wanahitaji kutick boxes za kuonyesha wanajali demokrasia.Wafanye haya kwanza.
1. Watangaze kukubaliana na maamuzi ya kamati kuu yaliyowavua uanachama.
2. Watangaze kuachana na ubunge wa viti maalum waliojivika kihuni huni.
3. Waseme nani alikuwa anawatumia.
4. Waombe radhi watanzania wote.
5. Wakae kimya kabisa.
Wakifanya hayo yote, mimi nitakuwa miongoni mwa watu watakaotafakari namna gani wasamehewe.
Nina uhakika kwa 99% hawawezi kufanya lolote katika hayo, maana hicho walichokifanya leo kwenye Press kulikuwa staged na CCM Lumumba toka jumapili. Kama huamini subiri kitakachofuata.
Na tutakuwa huru kweli kweli!Ni jambo jema,kweli itatuweka huru.
Wafanye haya kwanza.
1. Watangaze kukubaliana na maamuzi ya kamati kuu yaliyowavua uanachama.
2. Watangaze kuachana na ubunge wa viti maalum waliojivika kihuni huni.
3. Waseme nani alikuwa anawatumia.
4. Waombe radhi watanzania wote.
5. Wakae kimya kabisa.
Wakifanya hayo yote, mimi nitakuwa miongoni mwa watu watakaotafakari namna gani wasamehewe.
Nina uhakika kwa 99% hawawezi kufanya lolote katika hayo, maana hicho walichokifanya leo kwenye Press kulikuwa staged na CCM Lumumba toka jumapili. Kama huamini subiri kitakachofuata.
Naunga hoja YohaneNi jambo rahisi tu la kusema mchakato wa kuwapata hao wabunge 19 ndani ya chama ulifanyikaje na majina yao pale NEC yalipelekwa na nani.
Hakuna siri ya kusubiri rufaa ndio ueleze ikiwa mchakato wote ulifuata katiba ya Chadema.
Hadi sasa picha waliyonayo wananchi ni kwamba wabunge wa viti maalumu Chadema hupatikana kwa njia za panya yaani kwa utaratibu usio rasmi.
Maendeleo hayana vyama!
Vipi kuna matumaini ya yale ma-trilioni kuja au la?Nyie wafukuzeni kwenye chama ila sisi tutaendelea kuwatambua kama wabunge.
Hata darasani wapumbavu kama wewe huwa lazima wawepo!Nyie wafukuzeni kwenye chama ila sisi tutaendelea kuwatambua kama wabunge.
Okay, sawa basi.Pengine katika mambo ambayo aliyekuwa Mbunge wa Kawe Ndg. Halima Mdee hatokaa ayasahau maisha yake yote zaidi ni maamuzi ya kufanya "Press conference" leo bila kutafakari nini ingekuwa mrejesho wa "Press" ya Leo. Nadhani Jambo lilomponza Halima ni kusahau kuwa aliwakosea Watanzania walio wengi na alitakiwa kulitambua hilo kabla ya Press ya leo. Badala yake akaja kama mtu aliyekwisha anadaliwa kujibu tuhuma fulani jambo ambalo limekuja kumtokea puani (hii ni kutokana mrejesho kuptoka kwa wananchi
kupitia mitandao mbali mbali waliotoa maoni yao baada ya Press ya leo)
Swali la pili alilotakiwa kujiuliza kabla ya PRESS ya leo ni juu ya kwanini CCM wapo nyuma yake saana katika kuunga mkono usaliti alioufanya na mwisho kabisa angejiuliza hivi ni lini CCM waliwahi kuandaa "movie" ikapokelewa na wananchi. Siki zoote sinema za CCM huonekana ni za kihindi mbela ya wanchi....
ILi mrejesho wa Press ya leo tembelea mitandao mbali mbali ya akina Milard Ayo (Facebook n.k) ujionee mwenyewe majibu ya wenye nchi yao..