Halima Mdee: Mimi pamoja na timu yangu (Wabunge 19) tutabaki kuwa WanaCHADEMA kindakindaki. Tutaenda kuyajenga ndani kwetu


Maswali mazuri sana
 
Chadema kindakindaki huku bado mmekumbatia ubunge, stop kidding me.

Option is simple, rudini Chadema muachie ubunge, au bakini na ubunge muondoke Chadema.

Msituchezee akili.
Wewe utawapa ugali wa kula na watoto??? Msiwadanganye wakabaki kula hewa..hawana kazi nyingine hao jomba...ooohhhh
 
Me nawaambia kila siku,bila bunduki hao watu hawatakuwa na heshima.Bunduki zichezwe hata miaka 3 heshima itarudi.This time ni wafalme hao watu
Unaonaje ikitokea umetaitiwa na jambazi ako na bastola then akunyoshee, mavi hatagonga vyupi kweli kabla hata ya kufyatuliwa risasi
 
Sawa mkuu, ngoja tuone huko mbeleni. Huenda kwa sasa walichofanya ni kushusha tension iliyokuwepo kuonyesha wapo pamoja na chama then waendelee na harakati zao
 
Kuna watu hapa Jf waliamini na bado wanaamini Halima Mdee anaweza kwenda kinyume na Mbowe.

Siyo rahisi.

Halima Mdee hawezi kuiacha Chadema hata akikumbatiwa na nani nje ya Chadema.

Mungu wa mbinguni awabariki.

Maendeleo hayana vyama!
Kwanini alienda bungeni kuapa? Kwanini na yule mwenzake alitolewa jela usiku na siku ya pili akaamkia bungeni kuapa?
Tumia japo nusu za akili zako utafakari hili halafu utapata majibu mengi ambayo yanaviashiria vyote vya dadako Halima Mdee kununuliwa na kupokea mpunga bila chua
 
Ukweli ulikuwa upi zaidi ya kushawishiwa na CCM na kuwarubuni..... hawa wadada wakajisahau namna walivyokuwa wanavurumishwa na hao hao ambao leo wamewakumbatia.
Ukiambiwa utoe uthibitisho wowote wa wao kushawishiwa na CCM huna. Hivyo usipende kuongea vitu vya kubuni. Hiyo ni mojawapo wa viashiria vya upungufu wa uelewa.

Swala hili halikutakiwa kuamuliwa haraka kama walivyoamua. Kulikuwa na kila sababu kwa watuhumiaa kupewa nafasi ya kujitetea ili kutoa uamuzi wa haki.

Kitendo cha watuhumiwa kutopewa nafasi ya kujitetea nacho ni kiashiria cha kuwa kuna ukweli unafichwa. Usiwaone wamama hao kuwa ndiyo wanaostahili kukosea ukajisahau kwamba hata viongizi wa chama nao wanaweza kukosea. Why hawakukubali kuwasikiliza kabla ya kutoa hukumu? Ni sheria gani inayoruhusu kumhukumu mtu pasipo kujitetea?

Iruhusu akili yako kufanya uchambuzi. Ni kwa nini watuhumiwa hao hawakuruhusiwa kujitetea?
 
Karata wameocheza kijanja sana mbumbumbu wengi hawataelewa u turn yao.

Wangekubali kujivua uanachama na kushupaza shingo maana yake wangepoteza sifa za kuwa wabunge lakini sasa hivi wanaenda kuforce ndani ya chama warejeshewe uanachama wao kisha waendelee na mchakato wa kupigania chama kiridhie matokeo.

Kwa vyovyote vile chama kingeandika barua ya kutowatambua Kyle bungeni kwa kuwavua uanachama kisha kikateua wengine wao wangekuwa looser at the same time aliyewashawishi nae angekuwa looser.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…