Halima Mdee: Mimi pamoja na timu yangu (Wabunge 19) tutabaki kuwa WanaCHADEMA kindakindaki. Tutaenda kuyajenga ndani kwetu

Halima Mdee: Mimi pamoja na timu yangu (Wabunge 19) tutabaki kuwa WanaCHADEMA kindakindaki. Tutaenda kuyajenga ndani kwetu

Kila mtu ametoka kwake hapa, hatujawahi kupata ulinzi sio tu wa usalama wa Taifa hata wa mgambo. Hakuna ulinzi wowote, sisi tulindwa na Mungu kwa hiyo ninashauri sana huyo mtu huko ajue kwamba atasubiri sana kama ataweza akanchonganisha na chama changu, atasubiri sana kama anadhani anaweza akanichonganisha na wanachama na Taifa kwa ujumla.

Hili ni kama linaelekea kwa Kigogooo
 
Leo hali nayoiona hakuna kukatakata mawasiliano yaani kitu ni LIVE SAFIII hakuna mikwaruzo. Yaani hawa WASIOJULIKANA NI WATU WABAYA SANA.
 
Hii turning waliyoifanya Halima na wenzake siyo mchezo aisee maana expectation ya watu ilikuwa tofauti kwa kila upande walichokuja nacho kimewamaliza wote na kurejesha mpira kati, watakuwa walipima cons na prons wakaona heri yaishe kwa mujibu wa press hatujui yale ya nyuma ya pazia

Kama ni kweli wamedhamiria hivyo basi chama chao kitaona namna ya kudeal nao.

Ila la pili kwa maoni yangu nadhani wale waliowarubuni maana kiuhalisia wapo wameona impact ya kile walichofanya wamegundua kuna jinai nyingi sana ambayo kama ikienda kwa vyombo vya sheria mambo yataharibika wakaona eeh hili tuachane nalo kaombeni msamaha ili haya mambo yaishe.
 
Y

Yaani huyu COVID 19 na wenzake ni waajabu.. wamepata wapi ujasiri wakufanya PRESS alafu wamekwepa kikao muhimu cha chama
NDUGAI kalipia press na ulinzi, HAO COVID-19 hapo hakuna lolote zaidi ya kunajisi CHAMA.
 
Y

Yaani huyu COVID 19 na wenzake ni waajabu.. wamepata wapi ujasiri wakufanya PRESS alafu wamekwepa kikao muhimu cha chama
Wenyewe hawakua na uwezo wala ujasiri huo, kilichopo ni kusukumwa na waliowarubuni ili wakajaribu kuonyesha kuwa wao bado ni wanachama..
 
Leo hii ndiyo anahubiri habari za "Katiba yetu inataka tupewe wiki mbili kapbla ya kuchukuliwa hatua" ilhali alikuwa anakenua tu wengine wakifukuzwa kwa mtindo huuhuu.

 
Halima lete rahaa! Ndo tutajua CHADEMA wanaijua haki au hubwajaja tu.
 
Back
Top Bottom